Sasa umeleta humu ya nini kama hutaki ushauri. Kila la heri. Ila nakupa poleKama ilivyo kwa watu wengi hata mimi sikuwa na wazo kuwa siku moja nitazama mazima kwenye penzi la single mama ila ndo hivyo niko kwenye mahaba mazito. Huyu binti wa miaka 32 nimetokea kumpenda mno kuliko CHADEMA wanavyopenda maandamano yasiyo na tija. Ni binti mwenye sura nzuri sana na umbo namba 8 ya kibantu. Hauwezi kuongelea uzuri wa mwanamke halafu usimtaje. Utakuwa umevunja kanuni nyingi sana.
Black beauty kutoka kabila mojawapo la southern highlands. Mimi kwa sasa ni baba wa mtoto mmoja niliyemkuta naye. Yaani kitu mashine mnato utadhani hajawahi shiriki lile tendo. Pia kwa bahati nimemkuta kama ana mimba. Sina uhakika sana ila nahisi anayo. Itakuwa bahati baada ya miezi 9 kuwa baba wa watoto wawili niliowakuta kwa mpenzi wangu.
Nimeandika huu uzi kuwajulisha tu. Sitaki ushauri wowote au kuonewa huruma. Ninawasihi ukimpata single mama kama anakupa furaha kuwa naye tu. Maisha mafupi sana haya kukaa kwa huzuni.
Tuko na ya kwa maslahi ya taifa hivi sasa,yafamilia yanaweza kuangaliwa kifamilia bado.Sawa mambo yako tunakuachia mwenyewe
Ni vizuri ukauomba uongozi wa jamii forums wakubadilishie hili jina. Maana linaleta ukakasi! Watu wengine wanaweza wakakufikiria tofauti. Tena kuna kipindi mpaka picha uliweka ya huyo mama unayetumia jina lake.Kama ilivyo kwa watu wengi hata mimi sikuwa na wazo kuwa siku moja nitazama mazima kwenye penzi la single mama ila ndo hivyo niko kwenye mahaba mazito. Huyu binti wa miaka 32 nimetokea kumpenda mno kuliko CHADEMA wanavyopenda maandamano yasiyo na tija. Ni binti mwenye sura nzuri sana na umbo namba 8 ya kibantu. Hauwezi kuongelea uzuri wa mwanamke halafu usimtaje. Utakuwa umevunja kanuni nyingi sana.
Black beauty kutoka kabila mojawapo la southern highlands. Mimi kwa sasa ni baba wa mtoto mmoja niliyemkuta naye. Yaani kitu mashine mnato utadhani hajawahi shiriki lile tendo. Pia kwa bahati nimemkuta kama ana mimba. Sina uhakika sana ila nahisi anayo. Itakuwa bahati baada ya miezi 9 kuwa baba wa watoto wawili niliowakuta kwa mpenzi wangu.
Nimeandika huu uzi kuwajulisha tu. Sitaki ushauri wowote au kuonewa huruma. Ninawasihi ukimpata single mama kama anakupa furaha kuwa naye tu. Maisha mafupi sana haya kukaa kwa huzuni.
Umekuwa mwanaume sikuhizi?, wewe si tuliambiwa ulitaka kubakwa na joni? Sasa umekuwa mme wa single mamaKama ilivyo kwa watu wengi hata mimi sikuwa na wazo kuwa siku moja nitazama mazima kwenye penzi la single mama ila ndo hivyo niko kwenye mahaba mazito. Huyu binti wa miaka 32 nimetokea kumpenda mno kuliko CHADEMA wanavyopenda maandamano yasiyo na tija. Ni binti mwenye sura nzuri sana na umbo namba 8 ya kibantu. Hauwezi kuongelea uzuri wa mwanamke halafu usimtaje. Utakuwa umevunja kanuni nyingi sana.
Black beauty kutoka kabila mojawapo la southern highlands. Mimi kwa sasa ni baba wa mtoto mmoja niliyemkuta naye. Yaani kitu mashine mnato utadhani hajawahi shiriki lile tendo. Pia kwa bahati nimemkuta kama ana mimba. Sina uhakika sana ila nahisi anayo. Itakuwa bahati baada ya miezi 9 kuwa baba wa watoto wawili niliowakuta kwa mpenzi wangu.
Nimeandika huu uzi kuwajulisha tu. Sitaki ushauri wowote au kuonewa huruma. Ninawasihi ukimpata single mama kama anakupa furaha kuwa naye tu. Maisha mafupi sana haya kukaa kwa huzuni.
Huo ushauri wako kawape CHADEMANi vizuri ukauomba uongozi wa jamii forums wakubadilishie hili jina. Maana linaleta ukakasi! Watu wengine wanaweza wakakufikiria tofauti. Tena kuna kipindi mpaka picha uliweka ya huyo mama unayetumia jina lake.
Hili jina ninalotumia hapa JF linakupunguzia nini kwenye maisha yako?Ila baba wa kambo unazingua kujiita mama
Basi mama yaisheHili jina ninalotumia hapa JF linakupunguzia nini kwenye maisha yako?
Binti wa miaka 32Kama ilivyo kwa watu wengi hata mimi sikuwa na wazo kuwa siku moja nitazama mazima kwenye penzi la single mama ila ndo hivyo niko kwenye mahaba mazito. Huyu binti wa miaka 32 nimetokea kumpenda mno kuliko CHADEMA wanavyopenda maandamano yasiyo na tija. Ni binti mwenye sura nzuri sana na umbo namba 8 ya kibantu. Hauwezi kuongelea uzuri wa mwanamke halafu usimtaje. Utakuwa umevunja kanuni nyingi sana.