MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 19,291
- 39,975
Kama ilivyo kwa watu wengi hata mimi sikuwa na wazo kuwa siku moja nitazama mazima kwenye penzi la single mama ila ndo hivyo niko kwenye mahaba mazito. Huyu binti wa miaka 32 nimetokea kumpenda mno kuliko CHADEMA wanavyopenda maandamano yasiyo na tija. Ni binti mwenye sura nzuri sana na umbo namba 8 ya kibantu. Hauwezi kuongelea uzuri wa mwanamke halafu usimtaje. Utakuwa umevunja kanuni nyingi sana.
Black beauty kutoka kabila mojawapo la southern highlands. Mimi kwa sasa ni baba wa mtoto mmoja niliyemkuta naye. Yaani kitu mashine mnato utadhani hajawahi shiriki lile tendo. Pia kwa bahati nimemkuta kama ana mimba. Sina uhakika sana ila nahisi anayo. Itakuwa bahati baada ya miezi 9 kuwa baba wa watoto wawili niliowakuta kwa mpenzi wangu.
Nimeandika huu uzi kuwajulisha tu. Sitaki ushauri wowote au kuonewa huruma. Ninawasihi ukimpata single mama kama anakupa furaha kuwa naye tu. Maisha mafupi sana haya kukaa kwa huzuni.