Taarifa kwa Umma: Maandamano kesho yanaendelea

Taarifa kwa Umma: Maandamano kesho yanaendelea

Kuwa lockisha lockdown unafikiri wanafurahi?,wanaacha kwenda kutafuta riziki kwa sababu yenu watawapendaje sasa kwa mfano?
 
Gen z wamesema kesho wanaanza moja hakuna kilicho badilika. maandamano bado yapo mpaka mabadiliko.
Yaani kilichopo ni movements tu zikianza na vijana wakaweza kujikusanya hata hamsini tu wa kulianzisha moto lazima utawaka.
 
Tena naimani watu wengi huwa wanatamani kujiunga na maandamano ila mwanya wa kujiunga unakosekana....hivyo kesho watu watajiunga wengi mno kwenye maandamano
 
Mwishowe mnaonekana kama mna mambo ya kitoto, yaliyotokea yameshatokea maisha lazma tuendelee. Hatuwez kukalia Jambo moja kila siku.
Unaambiwa kuna watu wamepoteza wapendwa wao na hata hawajafanikiwa kuipata miili wazike.

Wewe kirahisi tu unasema yaliyotokea yameshatokea?
 
Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.

Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi

Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.

Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.

December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!
"Tunaanza upyaaaaaaaaaaaa" - We ulisikia wapi mpambano wa wananchi vs Serikali then Sirikali ishinde?
 
Unaambiwa kuna watu wamepoteza wapendwa wao na hata hawajafanikiwa kuipata miili wazike.

Wewe kirahisi tu unasema yaliyotokea yameshatokea?
Mbona jana tarehe 9 hajapotea mtu yoyote?. Hizi harakati zitaenda zikipoteza mvuto na maana ya uwepo wake. Muda huongea vyema na huanika busara inayokuwa nyuma ya akili fulani.
 
Teh teh teh .
Mnataka kuondoa serikali kwa mipasho!?
Ohhh 9 dec ohh wanajeshi wako upande wetu.
Haya sasa pangeni siku ingine tena siku ile ya kula kiti moto 25 dec njooni.
Sisi magaidi tunawasubiri na kobazi tu.
Chapa kobazi za makalio mpk muimbe kwaya.
Samaki wahedi.
Hawana kazi hawa vijana lakini wanachosahau ni ukweli kwamba Polisi na JWTZ kukaa barabarani na kulinda usalama wa raia ndio kazi yao ya kwanza kabisa.

Watanyooka tu hawa wapuuzi.
 
Humu JF hamna aliyeenda barabarani jana 😅😅😅

Kwahiyo msitujazie server humu tunajua hamna mwenye uwezo wa kutoka unajisumbua tu na minyuzi yako

Watu sio manyumbu siku hizi
 
Tena naimani watu wengi huwa wanatamani kujiunga na maandamano ila mwanya wa kujiunga unakosekana....hivyo kesho watu watajiunga wengi mno kwenye maandamano
Keyboard warrior jana ulikuwa wapi?😅

Usiishi kwa imani hakuna anayependa machafuko watu wanajitambua siku hizi

Watu hawawezi kuacha mitikasi yao kisa ujinga wenu mtaumizana wenyewe kwa wenyewe sasa
 
Yes ,hii ni plan B kwamba ya kutoka barabarani imeshindikana kwasababu ya curfew basi ,plan B ni kwamba daily ni siku ya maandamano ili wao waendelee kushinda juani huku Gen Z wakishinda ndani ,shughuli za uchumi hazifanyiki tuone nani anayeathirika zaidi.😎😎😎

Kwa kilichotokea Nov 29th; ni aibu.....huwezi kuandaa Political looting, uipe jina maandamano na ufanikiwe.....
Kule Marekani husema; Ukiacha mtoto wako afanye political looting, uende polisi kuelekezwa mochwari ya kuchukua mwili wake......kule hakuna kuremba.........
Gen Z takriban 75% hata ukiwauliza maandamano ni nini hawajui unategemea nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom