Taarifa kwa Umma: Maandamano kesho yanaendelea

Taarifa kwa Umma: Maandamano kesho yanaendelea

Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.

Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi

Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.

Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.

December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!
Mipasho unafiki na porojo tumezizoea.
Niko mwanza na hakuna maandamano yyt.
Km una ushahidi na hizo pumba zako WEKA PICHA.
Nyau msaliti wahedi.
 
Kukosa kazi ni kazi kubwa.

Semeni plan yenu ni kujichanganya na watu, kuleta vurugu ili kundi lote livamiwe muonekane mlikuwa wengi mnaosupport fujo za kipuuzi.

Leo mmeumbuka, hakuna kokote Mwanza walipoandamana wala Tegeta, mnatumiana clip zilizopita kujipa moyo.

Kaa chini plan maisha yako kijana, Tanzania hii opportunities zipo nyingi. Kufuata mkumbo hakutakupeleka kokote
Kama opportunities ni nyingi, kwanini mjaze watoto wa viongozi serekalini na sio kwenye hizo opportunities?
 
Taarifa kwa Umma:
Msako wa wahuni wanaosingizia maandamano Ili kuhujumu nchi kuendelea kesho na siku zijazo.
Nop, vibaka wote kuanzia Samuya jizi kuu soon yatakuwa yanajibu mastaka ya mauaji pale the Hegue.
 
Mipasho unafiki na porojo tumezizoea.
Niko mwanza na hakuna maandamano yyt.
Km una ushahidi na hizo pumba zako WEKA PICHA.
Nyau msaliti wahedi.
Acha biti wewe gaidi.

Hii serikali dhalimu lazima iondolewe.
 
Acha biti wewe gaidi.

Hii serikali dhalimu lazima iondolewe.
Teh teh teh .
Mnataka kuondoa serikali kwa mipasho!?
Ohhh 9 dec ohh wanajeshi wako upande wetu.
Haya sasa pangeni siku ingine tena siku ile ya kula kiti moto 25 dec njooni.
Sisi magaidi tunawasubiri na kobazi tu.
Chapa kobazi za makalio mpk muimbe kwaya.
Samaki wahedi.
 
Push up ?! 🤣🤣

Sikujua najadili na mtoto wa kike ambae ndio kavunja ungo.
Wewe gaidi hutoroki nimekushika shati 🤡

Haya jibu swali, utatoka tukutane? Au kama kawaida utasingizia upo Kinondoni kwa basha wako?
 
Maandamano ya siku za sikukuu ni magumu sana, kwasababu serikali wanapata nafasi ya kufungia watu ndani ila ikiwa siku ya kawaida ni ngumu kuzuia watu kuingia mjini.
 
Logically huu ni uquma, how comes maandamano hayana kiongozi Wala ajenda? Siipendi CCM pamoja na viongozi wote wanaotokana na hicho chama,

Ila tunafanya ujinga sana kuhalalisha kile maCCM walichofanya Oct 29, kiongozi wa maandamano ni nani ajenda yetu ni ipi ila tunaiwasilishaje? Huu UNGESE sana.

Tuwe strategists
Tufanywe uwe wew mkuu,lazima utumie akili ndogo,kama pole pole alikamatwa leo aje mtu aseme mm.ndio.kiongozi wa mandamano unawaza nini hapo,,fikiria.vyema tena
 
Maandamano haya ni ya watanzania wote, tunaandamana kwa zamu, Leo ilikuwa zamuya vyombo vya ulinzi na usalama. Kesho ni zamu ya watu wengine!
Hizi ni kauli za watu waliofeli kimawwzo, wasiojus wanataka nini.

Kama ni hivyo hakukuwa na haja ya kuitisha maandamano maana kwa msongsmano wa watu 5M pale Dar yale tayari ni msandamano so mngeacha tu watu waendelee na maisha ya kila siku kwani ni maandamano
 
Gen z wamesema kesho wanaanza moja hakuna kilicho badilika. maandamano bado yapo mpaka mabadiliko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom