Taarifa kwa Umma: Maandamano kesho yanaendelea

Taarifa kwa Umma: Maandamano kesho yanaendelea

Kukosa kazi ni kazi kubwa.

Semeni plan yenu ni kujichanganya na watu, kuleta vurugu ili kundi lote livamiwe muonekane mlikuwa wengi mnaosupport fujo za kipuuzi.

Leo mmeumbuka, hakuna kokote Mwanza walipoandamana wala Tegeta, mnatumiana clip zilizopita kujipa moyo.

Kaa chini plan maisha yako kijana, Tanzania hii opportunities zipo nyingi. Kufuata mkumbo hakutakupeleka kokote

Mkuu hao wezi tu
 
Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.

Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi

Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.

Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.

December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!
Maandamano ya mtandanoni mbona yapo kila siku wewe kima!! Hayajawahi kusimama hata siku moja.

Wewe mwenyewe unaandamana JF kila siku
 
Yes ,hii ni plan B kwamba ya kutoka barabarani imeshindikana kwasababu ya curfew basi ,plan B ni kwamba daily ni siku ya maandamano ili wao waendelee kushinda juani huku Gen Z wakishinda ndani ,shughuli za uchumi hazifanyiki tuone nani anayeathirika zaidi.

Kwa mbinu hii ya kutangaza maandamano daily ndiyo ambayo Gen Z watashinda maana WAHUNI wanaona curfew ndiyo solution ,je watafanya curfew daily? Hapana so lazima WATEME BUNGO.
Mbona mkongwe lakini haufikirii sawsawa.

Hivi haujui kwamba wanaoathirika ni raia wa hali ya chini wanaotegemea tongue lao kutoka kila siku ?
 
Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.

Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi

Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.

Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.

December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!
Acha ujinga.Upo nje ya nchi halafu unapump watoto wa wenzenu waandamane.
 
MagenZero wanazidi kuandamana online! Dah mmemuangusha sana Mange! Nb mkumbisheni hatupo tayari kuchoma ardhi hii tena.
 
Logically huu ni uquma, how comes maandamano hayana kiongozi Wala ajenda? Siipendi CCM pamoja na viongozi wote wanaotokana na hicho chama,

Ila tunafanya ujinga sana kuhalalisha kile maCCM walichofanya Oct 29, kiongozi wa maandamano ni nani ajenda yetu ni ipi ila tunaiwasilishaje? Huu UNGESE sana.

Tuwe strategists
 
SISI wananchi wazalendo HATUTAKI upuuzi unaoitwa maandamano.Shida yetu ni maji,chakula na maisha Bora Kwa ujumla.Hawa WAHUNI WANAOTAKA kuvuruga amani tutakula nao sahani Moja muda wowote hata wakisema Hadi mwaka 2070
Zaidi ya miaka 60 ya Uhuru maji bado shida?
 
Yani wewe mjinga mmoja upo nyuma ya keyboard na bwana akoo unasema watu waandamane,?
Wewe leo ulikiwa wapi??
Au ulikuwa unahemewa hapoo nyuma??
Unafikiri serikali ni ya bwana wako???
Sasa toka leo uone tutavotoa icho kinyeo!!
 
Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.

Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi

Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.

Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.

December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!

Nikiona mtu anajificha nyuma ya key board halafu anajiona yeye tayari ndiye msemaji wa watu wote.
Napata wasiwasi na Elimu wanayopata wanafunzi huko vyuoni..... Something is not right out there!
Vijana wetu exposure ni SIFURI kabisa....wanatakiwa wawe wanapata hata safari chache za kujifunza huko nje ya Nchi
 
Katika zile bilioni 5 wewe ulipewa kiasi gani mkongwe!?
Au Mange amegawana na akina Sativa na Hilda tu, wewe mgao haujakufikia!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom