Taarifa Kwa Umma: Fact Finding Mission-Jimbo la Kigamboni

Yayumkinika kuwa yeye mwenyewe Bashite ni " Eagle winger" ndio kusema mbwa kala Mbwa??

Najua ni Mmoja wao Mkuu ila lawama zangu nazielekeza kwa Mtu wa 'Vetting' na 'Recruiting' ya Idara kwani hana hata Sifa za kuwa Mtu wa Idara.
 
So Kuna mbunge(mgombea)hapo hana Sera ambazo tayari ameziandaa kuwashawishi watu wamchague.

Kadandia pikipiki kwa mbele, hajui awaambie nini wanachi. Sasa ndio anataka kutafuta Cha kuwaambia ili wamchague.

Inamaana mgombea huyo anachotaka yeye ni ubunge tu.

Hiyo fact finding anayofanya ni Kama kutafuta nauli ya kununulia ticket yake ya kupatia Ubunge. Nina wasi wasi akifanikiwa kuupata huo Ubunge anaweza hata asiwakumbuke tena hao wanachi.

Kwa ufupi huyo mgombea hakujua naenda kufanya nini Huko Kigamboni.

Maana zoezi hili alipaswa awe ameshalikamilisha kabla ya kuomba/ kuanza mchakato wa kusaka Ubunge huko Kigamboni.

Hivyo ndivyo akili yangu inavyoniambia
 
Uko sahihi, ila kwa hakika hauko sahihi.Ila maoni yako pia ni mazuri na yanahitajika kama wewe ni mkazi wa huku.
 
Najua ni Mmoja wao Mkuu ila lawama zangu nazielekeza kwa Mtu wa 'Vetting' na 'Recruiting' ya Idara kwani hana hata Sifa za kuwa Mtu wa Idara.
Gentamycine unachanganya mambo hapa, hao wanaoitwa " vetting" sio kwamba walikosea. They new it very well. And may be hizo unazoona sio sifa nzuri za Mwana wao Bashite basi ndizo wanazotaka wao.
 
Kama matokeo ya kazi hii yatafikishwa kwa wagombea wote itakuwa poa vinginevyo hii itamsaidia mmoja tu, na kama ni hivyo kima adili wakusanya data na sponsor wao wanatakiwa wajitambulishe na waliweke hili wazi.
Mkuu hii project haina tatizo lolote la kisheria, kikanuni na haki za kila mgombea.
Mgombea aliye gharamia au kuagiza hii kazi ni ubunifu wake tu.
Kama wengine wamelala shauri yao au wametumia njia nyingine kuzitambua changamoto za wana Kigamboni ni juu yao kujua ufanisi wa njia waliyotumia.
 
Mkuu piteni kwa tahadhari wakati wa hili zoezi,la sivyo mnaweza ambulia kichapo mkose kwa kukimbilia. Watu wanachukulia kama ni aina ya kampeni,kumbukeni kampeni zinakuwaga na ulinzi wa polisi na mamlaka husika
 
Mkuu ungekuwa Kigamboni ningekuwa kwenye Campaign timu yangu.Una fikra huru,mtazamo wazi hoja ya msingi kabisa.Asante
 
Mkuu piteni kwa tahadhari wakati wa hili zoezi,la sivyo mnaweza ambulia kichapo mkose kwa kukimbilia. Watu wanachukulia kama ni aina ya kampeni,kumbukeni kampeni zinakuwaga na ulinzi wa polisi na mamlaka husika
Mkuu tutapewa Kichapo kwa sababu gani,kuzungumza na watu,kujadili na watu kuhusu changamoto na matarajio yao au kuhusu nini hasa?
 
Mkuu piteni kwa tahadhari wakati wa hili zoezi,la sivyo mnaweza ambulia kichapo mkose kwa kukimbilia. Watu wanachukulia kama ni aina ya kampeni,kumbukeni kampeni zinakuwaga na ulinzi wa polisi na mamlaka husika
Mkuu soma vizuri mimi simo na hawa jamaa hawatembei mitaani kukusanya maoni/taarifa. Hata kama watatembea bado hawavunji sheria kwa kwenda kusikiliza ushauri na siyo kuahidi namna ya kutatua kero. Mbaya wakianza kutoa zawadi zitaonekana kama rushwa.
Wamekupa email na contact zingine utume maoni kutumia njia hizo.
 
Mkuu kwanza simfanyii kazi Makonda na hata katika kufanya haya yote ni kuhakikisha kwamba tunapata kiongozi anayeelewa mahitaji yetu.Kuhusu mficho usikupe shaka kwa sababu ni namna moja wapo ya kuhakikisha integrity.Ukifika wkati wa kusema hivyo utasema hivyo ila kwa sasa Mgombea ameomba kuwa confidential.Je inatosha kusema hivyo?

Hapana bado haitoshi kusema hivyo pekee...

Itatosha kama utasema ni mgombea gani huyo aliyewapa kazi hii...

Anajificha nini kwa sababu wote tunajua, CHADEMA wanaye yule mama Malegesi (kama sijakosea) na CCM aliyeshinda kura ya maoni ni Dr Faustine Ndungulile. Vivyo vyama vingine naamini vina wagombea....

Japo mchakato ndani ya vyama vyao hawa wagombea haujafikia mwisho na vivyo hivyo NEC kuwa bado haijawaidhinisha rasmi, lakini for sure kabisa hawa kwa 95% ndiyo wagombea tayari....

Kwanini wajifiche?

Unless useme ninyi ni NGO fulani mnafanya utafiti wenu kwa manufaa yenu na jamii huko mbeleni....
 
Mkuu vyama viko 19,Je una taarifa za vyama vyote?Una mjua mgombea wa ACT au TADEA au TLP au NRA au AFP au UDP au SAU?Unawajua
Kama mgombea amechagua kuwa anonymous basi inaweza kuwa ni sehemu ya mkakati kwani siasa zina mambo mengi ambayo wakati wmingine anonymity inaweza mpa mgombea advantage.
 
Huu muda tutasikia mengi, wagombea wote tunaamini wanafahamu changamoto za wananchi wao. Kilichobaki ni ubunifu wao sio kuwasumbua wananchi, tuacheni tuchambue na "KUPIGA KURA"
 
Mkuu watu waache kufanya kazi ili waje kuongea na nyie? Kama mtatoa pesa sawa ila kama ni bure ngumu sana kupata mnachokitaka.
 
Back
Top Bottom