Elishaosati
Member
- Oct 31, 2010
- 8
- 5
Taarifa kwa Madaktari wote nchini,
Kamati ya Jumuiya ya madaktari Tanzania inapenda kuwaalika madaktari wote nchini kuhudhuria mkutano mkubwa wa madaktari utakao fanyika siku ya Jumanne tarehe 03/07/2012 kuanzia saa mbili asubuhi katika ukumbi utakaotangazwa baadaye.
Imetolewa na Kamati ya Jumuiya ya Madaktari.
Hivi madkatari wote hua mnajuana??
Maana nina wasiwasi kina Abeid na ACP Msangi wanaweza kujifanya madaktari wakahudhuria nao
Hapo ndipo tofauti yao kubwa na wanasiasa inapokuja.uzuri wa madaktari huwa hawakurupuki!
Nchi nzima?
ni mkutano wa kuamua hatma yao,mabomu ya nini?madaktari ni vizuri kwenda na chupa za maji --- hawakawii kurusha mabomu hawa jamaa wa dhaifu.
Na kweli Mdaktari lazima mjuane kabisa ----- hawa Abeidi na ACP ni wajanja sana. Wakati wana Ufisadi Rushwa pesa zetu wanaona 900,000 ni pesa --- amajiri mwanae Ris 1 na mwenyewe wavai kuhudumia wagonjwa kama anaona kazi rahisi. Nyanya Mbovu sana JK anatishia nani.???? Maybe wale ambae wajaenda skuli.:spy: Anashanga Dk Ulimboka eti sio Serikali ??? Aisee walaniwe kweli kweli na kama sio Serikali Mungu upo.
hotuba fupi yenye ujumbe mnene[h=6]‎"Naelekea nje ya nchi kwa matibabu, nawasihi madaktari wenzangu wanaobaki waendelee ma mapambano ya kudai haki ambayo kimsingi bado haijapatikana, nawaomba damu yangu iliyomwagika ikawe chachu na hamasa katika harakati hizi za kudai haki, asanteni sana" ... Dr Steven Ulimboka[/h]