Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,139
- 12,285
Membe huyu huyu Handsome ama mwingine?
Ukiungwa mkono na kiongozi ambaye au hapendwi au hakufanya vizuri katika uongozi wake, nadhani ni sifa tosha ya wewe unayegombea kutostahili kuchaguliwa. Mimi nadhani mgombea akiungwa mkono na Kikwete, kutokana na utendaji wa Kikwete ambao haukuwaridhisha Watanzania walio wengi, itakuwa tayari ni disqualification ya kutokuchaguliwa. Kwa sasa wagombea wahangaike kuungwa mkono na Warioba, siyo Kikwete.
Watanzania wanamuitaj prof. Anna tibaijuka ndo awe rais 2015. Anauwezo mkubwa sana wa kuiongoza nchi na ni msafi sana mwenye kuthubutu msomi wa uchumi anayejua homa za watanzania
Membe alikuwa msaidizi wa Apson mwang'onda huko usalama wa taifa na sidhani kama walikuwa na maelewano mazuri ; Othmana ambae ndio mkuu wa Usalama wa taifa sasa alifanya kazi na wote wawili hawa ; kitu kinachowatenganisha ni makundi ya kuwania URAIS kupitia chama cha magamba!! Apson yuko kundi la Lowassa na Membe ndio huyo anauzengea URAIS na Othman ndio huyo mwenye mtihani mkubwa kujiunga kundi la bosi wake wa sasa akijua wazi iwapo kundi la mahasimu wao wakishinda ndio hana kazi!!
Ukitaka kuzijua vizuri habari Za marehemu Walingozi Mwulize Caroline Sanga !!!!
Nimemukumbuka marehemu WALINGOZI mimi, basi tu wakienda hawarudi.
Ukiungwa mkono na kiongozi ambaye au hapendwi au hakufanya vizuri katika uongozi wake, nadhani ni sifa tosha ya wewe unayegombea kutostahili kuchaguliwa. Mimi nadhani mgombea akiungwa mkono na Kikwete, kutokana na utendaji wa Kikwete ambao haukuwaridhisha Watanzania walio wengi, itakuwa tayari ni disqualification ya kutokuchaguliwa. Kwa sasa wagombea wahangaike kuungwa mkono na Warioba, siyo Kikwete.
Alimsariti vipi Mkapa acha Uongo wako ww ni jasusi gani hata hujui kuchambua data !
Membe akiwa Rais wa nchi hii siku hiyo nitakunya kariakoo, mtaa wa Congo, saa 6 mchana.
Mkuu TISS kazi zake nyingi hufanywa (covertly) kimya kimya, jambo hili huwa changanya watu wengi sana hasa pale Green Guard ya akina Nchemba na Nape zinapoharibu ama kujitafutia ujiko huwa wanatumia jina la kitengo! Hii si sawa kabisa... Ukiweza kutenganisha TISS na Green Guard, Askari Kanzu utaweza kupata mwanga kidogo kwanini nakuambia kuwa kitengo kiko imara sana... Utulivu wa nchi hii unatokana na kazi za TISS 100%... nchi hii ina maadui wengi wa ndani na nje na wengi hushughulikiwa kimya kimya ... Mkiona vyaelea basi mjue kuwa vimeundwa ...
Nchi ambazo hakuna Usalama wa Taifa Strong Muda huu wanatamani sana nao wangekuwa kwenye Mitandao kama wewe wakitukana Idara nyeti kama hii,lakini wako Bize kutafuta eneo salama la kuokoa Nafsi zao, Hauko salama hata kidogo ukitafutwa utapatikana lakini huna athari ndio maana unaona hawapo, waliojifanya Mabingwa wa kupanga Milipuko muda huu wako wapi? nao walijiaminisha kuwa TISS haipo.
Uliza Mtoto wa Mzee Job alieanzisha Mtandao wa Ze Utamu akawa anahadaa watu kwa yupo UK, alipovuka mipaka alikamatwa kama kuku huko Chicagohuko US akarudishwa hapa nchini, Tangu hapo sio yeye wala wenye tabia kama zake waliothubutu kufanya Ujinga. Always sema I see no body sio no body see me.
Dada Salome,'
Mtoto unayemzungumzia wa Job Lusinde hakukamatwa. Alikuwa London na kwa mujibu wa sheria za Uingereza alikuwa hajafanya kosa lolote la jinai. Wazazi wake walikubaliana na mtu aliyekosema kuwa yaishe. Sijui kama amerudi Bongo, last time I checked he was still in England.
Uzi huu umewekwa kwa lengo maalum, ni bandiko la kimkakati.
Exposed n vulnerable?... unazunguzia ktk muktadha ipi? please be specific! Tanzania so far ni salama ukilinganisha na mataifa mengi zikiwemo zile zilizoendelea siku nyingi! ukiweka pembeni propaganda za kisiasa utakubaliana na mimi kuwa TISS imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kudhibiti maadui wa nje ya mipaka yetu! I wish Mngejua kuwa nchi masikini zenye Utajiri wa asili huwa ziko vitani kukabiliana na silaha hatari za maangamizi za kikemikali, kibaiolojia na hata mabomu wakati mwingine! So far ndani ya nchi yetu tuna jeshi moja! Magonjwa ya kupooza viungo, dengue, Ukimwi, na Hata EBOLA vinadhibitiwa chini kwa chini! Samaki. Maziwa, Cheese na baadhi ya bidhaa zenye mionzi hatari kwa Watanzania hukamatwa na kuteketezwa kila siku... Chanjo zenye madhara kwa akina mama na watoto hugunduliwa na kudhibitiwa kila wakati... Mkuu kuna mengi mno hamuyajui ... Kuna Strategies zingine zinatumika kuhakikisha kuwa mitaji inabaki hapa nchini japo ktk hali ya kawaida jamii inalalamika kuwa ni Ufisadi wa kutisha...!!! nisiseme mengi ILA tambua kuwa kitengo kiko imara sana na wanahitaji support ya Watanzania wote...
Laiti watanzania tungetumia nguvu hii kwenye maendeleo na kuacha majungu na speculations tungekua another level

Iwapo Mwenyekiti wa chama pamoja na umakini wake, Nguvu Zake ndani ya chama pamoja na uwezo wake wa kiungozi hakuweza kuweka mgombea wake 2005, Mwenyekiti wa sasa ambae anaongoza nchi kwa vile tu katiba Inasema rais anaongoza kwa kipindi cha miaka mitano mitano, ataweza vipi kuja na jina lake na likapita? Haiwezekani, mgombea ajaye (CCM) ni lowassa, labda miujiza ya Mwenyezi mungu itokee, au labda chadema ije na viable candidate; miujiza ya Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi taifa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Imebidi nikugongee like kwa jinsi story ilivyokaa kama Willy Gamba,aka fiction mwanzo mwisho.
Nchi yetu ina matatizo mazito sana,yani kama unategemea watu waamini huu uporoto basi unaamini kwa dhati kabisa wasomaji wa huu mtandao ni darasa la 3-4 wenye IQ za kuku.
This is disgusting, please treat us with some sense of respect.