Taarifa kuwa Kikwete hamuungi mkono tena zamchanganya Membe

B

blueray

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
2,219
Points
0
B

blueray

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
2,219 0
Katika kuelekea kinyanganyiro cha URAIS 2015, AFISA wa usalama wa siku nyingi Mhe Membe inasemekana amekasirishwa sana na habari za kusemekana kwamba familia ya Rais Kikwete haina mpango naye tena kwenye urais na wamehamishia Nguvu kwa Mwigulu.

Kwasababu hizo ameamua kumvuruga Rais kupitia Usalama wa TAIFA kwa kuwatisha viongozi wa usalama wa zamani na sasa, kama ilivyoonekana hapa jamvini kuhusu habari za Mzee Mwangonda ambaye alifanya kazi kubwa sana kuboresha maslahi ya wana usalama nchi nzima.

Mzee Mwangonda ambaye ni mkulima wa Kawawa huko Mbozi siku hizi ametukanwa akihusishwa na UKAWA na lowassa kwa makusudi kabisa ili wafarakane na Mkurugenzi wa sasa Othman na yeye Membe afanikiwe kumfukuza Othman , mpango wake wa miaka mingi.

Jamani mgombane kwa URAIS lakini msiguse idara muhimu ya usalama wa TAIFA , mtatuua. Nawasilisha
Mkuu umetoa hoja nzuri; idara ya UWT isihusishwe Na makundi ya urais. Kwa maneno mengine pia UWT wajiepushe kujihusisha na upande wowote Wa makundi ya urais
 
VANCOUVER

VANCOUVER

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
336
Points
0
VANCOUVER

VANCOUVER

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
336 0
Kama hujui kitu uliza kwanza. Ukishapachika mtu jina la uongo umejifungia mlango wa kujua alitaka kusema nini. Unakumbuka kisa cha kuungua Ikulu? Na Kikwete kuingia mamlakani? Jazia mwenyewe.
tuambie kwanini ikulu iliungua na kikwete kuingia madarakani vina uhusiano gani?
 
msumeno

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Messages
2,835
Points
2,000
msumeno

msumeno

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2009
2,835 2,000
System at work .....Mzee Apson apumzike bana ......siasa zitazidi kuchafua weledi wake ...
wewe MTAZAMO vipi,, kwani mzee mwang'onda ana uzee gani wa kumshinda Mzee Slaa
 
Last edited by a moderator:
B

bandu bandu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
2,727
Points
2,000
B

bandu bandu

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2013
2,727 2,000
Acha hizo warioba hajachakachua chochote
 
K

Kimweri

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2008
Messages
4,001
Points
2,000
K

Kimweri

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2008
4,001 2,000
The most ridiculers part ndo yenye ukweli na uhalisia mwingi Mkuu...
So,with a straight face you want to tell me that the west (US included) would purposefully infect millions of Tanzanians with HIV virus?or what?do you know that every year there are more than 60,000 new cases of HIV just in the US?do you know the cost to the US economy of these infections?

Unajua ni wa-TZ wanatumia hizo "cheese"? hadi kujustify intervention ya TISS?while on the flip side TISS hao hao wakaruhusu kina Bakhresa na wamanga kadhaa hapo kkoo kuuzia watu vyakula vibovu miaka nenda miaka rudi?

Hao TISS wanadhibiti vipi EBOLA, wakati hata Bajeti ya Maafa hakuna TZ?mabomu ya Mbagala pia walikuwa wanadhibiti nini?mafuriko ya Jangwani ni TISS pia walikuwa wanadhibiti?yani ndugu umekusanya pandemics,epidemics, natural disasters ukazibwenga kwenye kazi za TISS,just like that?
 
L

lupe

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
5,659
Points
0
L

lupe

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
5,659 0
Peleka M.A.V.I. Yako Huko Kwenu Mbwinde Na Tuachie Kariakoo Yetu. Kuna Nini Leo Mbona Threads Za Wadau Wengi Humu Wanazielekeza ktk K.U.N.Y.A...................K.U.N.Y.A? Vyoo Vyenu Vimejaa AU Ndiyo Mnatafuta Visingizio Na M.T.U.N.Y.E.E?
Hahaha hahaha hahaha hahaha
 
B

Bulesi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2008
Messages
7,558
Points
2,000
B

Bulesi

JF-Expert Member
Joined May 14, 2008
7,558 2,000
mnataka kuniambia hata mama salma amemkacha ndugu yake joka la mdimu????bas huu utakuwa ni muendelezo wa usaliti
Membe anaweza kuwa ndio candidate wa huyo mama kwani anataka amrithi ubunge huko kwao Lindi; lakini amini usiamini Membe hajawahi kuwa candidate wa Jakaya, mtu anaepigiwa chepuo na Jakaya is none other than EMMANUEL NCHIMBI!!! Hawa wawili wana siri kubwa sana kati yao!!!
 
B

Bulesi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2008
Messages
7,558
Points
2,000
B

Bulesi

JF-Expert Member
Joined May 14, 2008
7,558 2,000
Alimsariti vipi Mkapa acha Uongo wako ww ni jasusi gani hata hujui kuchambua data !
He never betrayed Mkapa but he blackmailed him by insisting that if Kikwete was not nominated the country would have been ungulfed in chaos!! Hiyo blackmail ndio ilimfanya Mkapa akakiuka kanuni za uchaguzi na lile faili la kamati ya maadili halikufunguliwa na kuavoid disqualification ya Kikwete kufuatana na ripoti yake ilivyokuwa chafu!!!
 
C

cray

Senior Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
172
Points
195
C

cray

Senior Member
Joined Nov 2, 2010
172 195
[
QUOTE=Bams;10383618]Ukiungwa mkono na kiongozi ambaye au hapendwi au hakufanya vizuri katika uongozi wake, nadhani ni sifa tosha ya wewe unayegombea kutostahili kuchaguliwa. Mimi nadhani mgombea akiungwa mkono na Kikwete, kutokana na utendaji wa Kikwete ambao haukuwaridhisha Watanzania walio wengi, itakuwa tayari ni disqualification ya kutokuchaguliwa. Kwa sasa wagombea wahangaike kuungwa mkono na Warioba, siyo Kikwete.[/QUOTE]

Yaani umenigusa mpaka basi. Huu ndo ukweli, huwezi kuungwa mkono na JK afu useme una sifa za kugombea uraisi, Raisi aliefell kudeliver atakua na impact gani kwenye public? Ni vyema akaungwa mkono na Warioba mwenye influence na jamii na si vinginevyo. Nakuunga mkono asilimia zote.
 
mgt software

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
11,578
Points
2,000
mgt software

mgt software

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
11,578 2,000
Chabruma huko wapi? ya kweli haya???
 
tru rasta

tru rasta

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
299
Points
250
tru rasta

tru rasta

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
299 250
Imebidi nikugongee like kwa jinsi story ilivyokaa kama Willy Gamba,aka fiction mwanzo mwisho.

Nchi yetu ina matatizo mazito sana,yani kama unategemea watu waamini huu uporoto basi unaamini kwa dhati kabisa wasomaji wa huu mtandao ni darasa la 3-4 wenye IQ za kuku.

This is disgusting, please treat us with some sense of respect.
well said,na kwa wale wazee wa zamani wangesema this man is insulting our intelligence.story za kitoto kabisa
 
tru rasta

tru rasta

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
299
Points
250
tru rasta

tru rasta

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
299 250
Lowasa ndio chaguo la Wananchi hilo halina mjadala,,,ukawa mtaishia kuwa vyama vya upinzani tu na uwaziri vivuli ndio size yenu!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums
Huyo mgombea wenu mnaempigia debe si chagua la watanzania,ni chaguo la wachumia tumbo.good luck with that journey,Tanzania inahitaji fit person kutuogoza,sio mgonjwa.
 
Ngongo

Ngongo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2008
Messages
12,870
Points
2,000
Ngongo

Ngongo

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2008
12,870 2,000
Mkuu Mpitagwa nasikia Walingozi alikuwa achukue mikoba ya Apson lakini Mungu akampenda zaidi.

Nimemukumbuka marehemu WALINGOZI mimi, basi tu wakienda hawarudi.
 
Last edited by a moderator:
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,590
Points
2,000
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,590 2,000
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni mwaka 2015 kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya umeme, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha, EPA na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when magambas will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave in a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits the minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.
 
Nyenyere

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
10,141
Points
2,000
Nyenyere

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
10,141 2,000
Ukitaka kuzijua vizuri habari Za marehemu Walingozi Mwulize Caroline Sanga !!!!
I met this lady some where in Dar. Nimeshangaa kuona yuko mentioned humu jukwaani. Lazima atakuwa na umaarufu fulani. Naomba kujuzwa japo kidogo tu, ni nani huyu?
 
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
9,838
Points
2,000
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
9,838 2,000
Katika kuelekea kinyanganyiro cha URAIS 2015, AFISA wa usalama wa siku nyingi Mhe Membe inasemekana amekasirishwa sana na habari za kusemekana kwamba familia ya Rais Kikwete haina mpango naye tena kwenye urais na wamehamishia Nguvu kwa Mwigulu.

Kwasababu hizo ameamua kumvuruga Rais kupitia Usalama wa TAIFA kwa kuwatisha viongozi wa usalama wa zamani na sasa, kama ilivyoonekana hapa jamvini kuhusu habari za Mzee Mwangonda ambaye alifanya kazi kubwa sana kuboresha maslahi ya wana usalama nchi nzima.

Mzee Mwangonda ambaye ni mkulima wa Kawawa huko Mbozi siku hizi ametukanwa akihusishwa na UKAWA na lowassa kwa makusudi kabisa ili wafarakane na Mkurugenzi wa sasa Othman na yeye Membe afanikiwe kumfukuza Othman , mpango wake wa miaka mingi.

Jamani mgombane kwa URAIS lakini msiguse idara muhimu ya usalama wa TAIFA , mtatuua. Nawasilisha
Huyu ''jasusi'' wa clip za mipasho kumbe hajaanza kusifiwa leo. Bado najiuliza hizi hasira zake ziliishia wapi?
 

Forum statistics

Threads 1,326,445
Members 509,514
Posts 32,222,165
Top