Katika kuelekea kinyanganyiro cha URAIS 2015, AFISA wa usalama wa siku nyingi Mhe Membe inasemekana amekasirishwa sana na habari za kusemekana kwamba familia ya Rais Kikwete haina mpango naye tena kwenye urais na wamehamishia Nguvu kwa Mwigulu.
Kwasababu hizo ameamua kumvuruga Rais kupitia Usalama wa TAIFA kwa kuwatisha viongozi wa usalama wa zamani na sasa, kama ilivyoonekana hapa jamvini kuhusu habari za Mzee Mwangonda ambaye alifanya kazi kubwa sana kuboresha maslahi ya wana usalama nchi nzima.
Mzee Mwangonda ambaye ni mkulima wa Kawawa huko Mbozi siku hizi ametukanwa akihusishwa na UKAWA na lowassa kwa makusudi kabisa ili wafarakane na Mkurugenzi wa sasa Othman na yeye Membe afanikiwe kumfukuza Othman , mpango wake wa miaka mingi.
Jamani mgombane kwa URAIS lakini msiguse idara muhimu ya usalama wa TAIFA , mtatuua. Nawasilisha
sijajua umetumia kigezo gani?
Mbona idara yenyewe unayozungumzia imeshakuwa corrupt. Siku hizi hakuna usalama wa taifa. Ni usalama wa maslahi.
Mwang'onda ndiye Apson? Alimsaliti Mkapa.
Kama hujui kitu uliza kwanza. Ukishapachika mtu jina la uongo umejifungia mlango wa kujua alitaka kusema nini. Unakumbuka kisa cha kuungua Ikulu? Na Kikwete kuingia mamlakani? Jazia mwenyewe.Alimsariti vipi Mkapa acha Uongo wako ww ni jasusi gani hata hujui kuchambua data !
Dada Salome,'Nchi ambazo hakuna Usalama wa Taifa Strong Muda huu wanatamani sana nao wangekuwa kwenye Mitandao kama wewe wakitukana Idara nyeti kama hii,lakini wako Bize kutafuta eneo salama la kuokoa Nafsi zao, Hauko salama hata kidogo ukitafutwa utapatikana lakini huna athari ndio maana unaona hawapo, waliojifanya Mabingwa wa kupanga Milipuko muda huu wako wapi? nao walijiaminisha kuwa TISS haipo.
Uliza Mtoto wa Mzee Job alieanzisha Mtandao wa Ze Utamu akawa anahadaa watu kwa yupo UK, alipovuka mipaka alikamatwa kama kuku huko Chicagohuko US akarudishwa hapa nchini, Tangu hapo sio yeye wala wenye tabia kama zake waliothubutu kufanya Ujinga. Always sema I see no body sio no body see me.
Membe Na Mwigulu Nachagua Mwigulu. Membe Ni Adui Mkubwa Wa Ukristo, Amelaani Israel.Tangu Sk Hy Hafai Hata Kuwa Mjumbe Wa Nyumba Kumi.Anasema Ndg Zake Wapalestina Wanauwawa, Haya Kundi La Islamic State Linachinja Watu Membe Yupo Kimya Halilaani Hl Kundi La Kiislam Ila Kwa Israel Haraka Sana Katoa Tamko!!
Membe? atapiga propaganda lakini kitengo kiko imara sana... Nchi hii imebarikiwa kuwa na watu wenye weledi mkubwa sana kwenye medani ya Usalama...
Nyerere aliweza kumuweka Mkapa
Binafsi kama ningekuwa mpiga kura huko CCM na wagombea wakiwa ni Membe na Lowasa tu,kura yangu ningempigia Lowasa pamoja na kashfa zake zote
Membe Hana nafasi ya Urais asome alama za nyakati mapema ajiunge kwa Lowasa ili aje aukwae uwaziri wa Utawala bora pindi lowasa Akiwa Rais
Hapana hukunielewa .....hakuna Rais akiwa madarakani aliyefanikiwa kumuweka mtu wake madarakani .....Nyerere alimuweka Mkapa akiwa si Rais .......
Ni uchafu mtupu kuzungumzia usalama wa Taifa. Tanzania hakuna tena usalama wa Taifa. Kuna walevi kibao wanakesha Bar wanajiita TISS kazi yao kubwa ni kung'oa macho na meno bila ganzi.
weledi gani wakati nchi iko kwenye hali tete exposed and vulnerable?!
Wassira ndio Rais wetu mtarajiwa acha kumshusha Thamani, Bunda amemuaachia kijana mdogo aliyewahi kusoma na mimi pale UDOM anaitwa Freka
Watanzania wanamuitaj prof. Anna tibaijuka ndo awe rais 2015. Anauwezo mkubwa sana wa kuiongoza nchi na ni msafi sana mwenye kuthubutu msomi wa uchumi anayejua homa za watanzaniaNyerere aliweza kumuweka Mkapa
Binafsi kama ningekuwa mpiga kura huko CCM na wagombea wakiwa ni Membe na Lowasa tu,kura yangu ningempigia Lowasa pamoja na kashfa zake zote