social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,105
- 1,262
DAB anamtaja sana Mungu katika maongezi yake anawafananisha wengine sawa na mbwa mwitu,wakati yeye ndio mbwa mwitu aliejivika ngozi ya Kondoo,wamejenga ofisi mashuleni akishirikiana na jamaa zake ili fenicha zipite bure kwa mgongo wa ofisi,kweli mjini shule Nimemkumbuka manzi wangu chuo wakat tunazozana kuhusu kumpatia fedha ya mahitaji yake akanambie "hapa hakuna K ya bure.