Taarifa Kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Sep 13, 2016
49
23
Usikose kufuatilia kipindi mbashara kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii, kufahamu zaidi kuhusu Ufuatiliaji na Uhuishwaji wa leseni MBASHARA
LEO HII
: 05 JANUARI, 2024
: SAA 12 JIONI
: YouTube & Facebook (tcra_tanzania)
20240105_171650.jpg
 
Tatizo kila siku mnatunga sheria za kutubana watumia internet na kushindwa kushusha gharama za bundle kwa mlaji wa huduma.

Mwananchi wa kawaida alitakiwa kupata huduma za internet kwa bei nafuu zaidi maana dunia imehamia kwenye internet.

Vipi ile kampuni ya Elon Musk ya star link mmeshaipa kibali cha kutoa huduma za internet nchini?.

Sijaona sera za kubeba vijana wenye vitu vyao vya kitehama, imefika hatua baadhi ya vijana wanakufa na vitu vyao mifukoni, wengine inasemekana wameamua kwenda kusajili kazi zao Kenya

Najua kuelekea uchaguzi mkuu, mtakuja na sheria ngumu zaidi dhidi ya wale wenye mawazo kinzani, zitakazohatarisha uhai wetu watumia internet hususani upande wa mitandao ya kijamii.
 
Back
Top Bottom