Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Jabiri Bakari kuwasilisha Taarifa ya Mwenendo wa Sekta ya Mawasiliano

Sep 13, 2016
49
23
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabiri Bakari atawasilisha Taarifa ya Mwenendo wa Sekta ya Mawasiliano kuanzia Mwezi Julai hadi Septemba, 2023.

Taarifa hiyo itarushwa mbashara leo Jumatano, Tarehe 25 Oktoba, 2023 kuanzia saa Tisa Alasiri, kupitia chaneli ya YouTube na ukurasa wa Facebook @tcra_tanzania pamoja na vyombo mbalimbali vya habari. USIKOSE KUFUATILIA

#tcratz #sektayamawasiliano #maendeleoyasektayamawasiliano #takwimuzamawasiliano #tanzania #tcrasept2023

IMG-20231025-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom