frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
kumbe MBOWE mvumilivu sana
Kivip mkuu?
kumbe MBOWE mvumilivu sana
mpaka wamtaje Zito ndo Mbowe achomoe laana yake dhidi ya hili gengekumbe MBOWE mvumilivu sana
usichoke mkuu hapa ndipo Ofisi ya Itikadi na Uenezi ACT Tanzania. Kama unaweza kuwaomba Pasword za hizi akaunti za ACT humu unaweza hata uka preview muhutasari, mikataba, matamko mbalimbali na mipango mikakato(work plans) za chama hiki na vyote vipo kwenye inbox ya Nyakarungu, mwalimu kaijage na doto rangimoto.
... Tumeshachoka Na Taarifa Zenu
Tayari tumekusikia Nyakarungu, Dotto Rangimoto alishatoa ya kwake hapa sasa tunasubiri tamko la Mwl. Kaijage
Mmehama chama cha CHADEMA na tabia zote za kichadema. Matamko kila kukicha ndio staili yenu ya kukuza chama. Kuna wakati mtakuja toa roho za watu ili tu mpande chati.
Iwafikie: betlehem, Mwl.Kaijage, Kitila Mkumbo, Dotto C. Rangimoto, Ludovick Joseph, Juliana Shonza, Zitto, et. al. Njooni huku, muna hoja ya kujibu.Kwenye mada kama hizi nisipomsikia ndugu yangu Betlehem nakosa raha sana! Au yeye kitengo chake ni cha kutuletea "Mapato na Matumizi ya ACT ya kila baada ya miezi mitatu"! Japo sasa tunaelekea mwezi wa saba toka alipotuletea kwa mara ya mwisho! Hahahahahaaaaa!!!!