Taarifa: ACT-Tanzania hatuna ushirika na CUF

Taarifa: ACT-Tanzania hatuna ushirika na CUF

Hasa huyu Nyakarungu na kuzusha kuwa eti anataka kubakwa na chadema oops sory kutekwa na CDM. Kuna kipindi flani mtu mmoja anajiita Yona alijiteka na kujipeleka Muhimbili halafu akajitelekeza ! yaani nkikumbuka haya mambo ya kina nyakarungu na bethlehem nasikia hasira na uchungu hadi kufa
"Bw. Mwigamba na Prof. Kitila, ni watu wakaidi mno, wabinafsi na waroho wakubwa wa madaraka. Kuwavumilia katika taasisi yoyote ile kunahitaji kuwa na moyo wa chuma; historia zao huko walikofukuzwa zinajulikana."

Ukweli utajulikana tu! Wakati CHADEMA wakiondoa magugu waliitwa kila aina ya maneno lakini sasa ukweli umeanza kuonekana. Asante Viongozi wa chadema kwa umakini wakuwaondoa watu hawa na zitto wao.
 
Huo ndio Mwisho wa Mkulima Masikini na Kitila Mkumbo,hakuna chama kingine kitachowapokea labda waaznsihe chama chao kingine na historia haibadiliki lazima kitavunjika tu.
 
Last edited by a moderator:
hiki chama ni kichanga sana lakini kina migogoro kibaaooo hii ni dalili tosha kua hakita kua na maisha marefu.....wanafiki na wasaliti hawawezi kukaa meza moja hata siku moja.
 
duuh kabla ya kuzaliwa kishakufa...masalia sijui yatakimbilia wapi
 
Mambo ya aibu haya. Ooh eti hatutaki kuongozwa na watu wasio na elimu sijui wachaga nk. Haya leo wasomi watupu hata chama hakina mwaka ndio aibu ya namna hii.
 
.....ni wakaidi mno, historia yao inajukikana uko walikofukuzwa!! .....mkuu nyakarungu kwangu mm hii naiona kama fedhea kwa profesa wetu , ....je haiwekani mkakaa mkayamaliza ? Siasa sio vita ndugu daktari nyakarungu, ebu yamalize, pia ikumbukwe mkutano wa cuf walienda kumpa sapoti pseudo- chairman...leo mnawakana, si na chairman mtamkana akija sasa!!
Na ww profesa na mwigamba, si muwe na political tolerance? Au borne to lead??

Mwisho, shikamoo mbowe!! Nyakarungu anasema inahitaji utulivu uliotukuka kuwavumilia Hawa watu!! Dr slaa , mnyika, lissu, lema shikamoo wote!!
 
Tutashirikiana na viongozi wa ACT kuihami Demokrasia.Tuwapongeze kwa hatua wanazoendelea kuchukua dhidi ya genge la vibaraka wa Mafisadi wa CCM.

Madalali hawa waliposhindwa kuua CDM walikimbilia ACT kuendelea na kazi yao wanayolipwa ya kuua vyama vya upinzani.

Tunafurahi ACT wamekuwa Imara kupambana na madalali hawa
 
Mmh! Kazi ipo, naona nyinyi mmeyaanza mapemaa!
 
Mwigamba na prof mkumbo umeona yanayotokea..ulikuwa ni Mdau wa demokrasia ona sasa unavyoaibika
 
.....ni wakaidi mno, historia yao inajukikana uko walikofukuzwa!! .....mkuu nyakarungu kwangu mm hii naiona kama fedhea kwa profesa wetu , ....je haiwekani mkakaa mkayamaliza ? Siasa sio vita ndugu daktari nyakarungu, ebu yamalize, pia ikumbukwe mkutano wa cuf walienda kumpa sapoti pseudo- chairman...leo mnawakana, si na chairman mtamkana akija sasa!!
Na ww profesa na mwigamba, si muwe na political tolerance? Au borne to lead??

Mwisho, shikamoo mbowe!! Nyakarungu anasema inahitaji utulivu uliotukuka kuwavumilia Hawa watu!! Dr slaa , mnyika, lissu, lema shikamoo wote!!
Safi sana umeandika nachofikilia
 
Zitto ameshapima upepo ameona ACT itammaliza kabisa, sasa anamtumia Prof. Lipumba amuombee msamaha Chadema. Watanzania watajionea mengi kuhusu hawa wasaka tonge
 
  • Thanks
Reactions: jme
tatizo mmekosa msimamo wa kusimamia falsafa zenu!!! kwa njinsi hii sizani kama ninyi mnamuelekeo!!!unafiki na usaliti utawanyonga!!
 
Hivi Karama Kaira si ndo alikuwa afisa habari? hahahaaa Kapinduliwa. Walioenda mkutano wa CUF na kunusurika kipigo ni wafuasi wa Zitto walio katika mwavuli wa ACT.
 
Haka Ka Chama Bwana! Ningekuwa Mkumbo ningedeal na ufundishaj chuo na kuongoza midahalo tu basi, siasa aachane nayo au naye atunge chama chake
 
There is a sucker born every minute and, this says it all about "wananchi-wazalendo-wa-Tanzania" who have for a long time entrusted the ruling party but to their disappointment, so far...?
 
Back
Top Bottom