Taarab.....

sio mbaya ukasema hayo maneno ili tuyatazame.
Usiwe kama viongozi wa chama fulani wanaosema 'tusipokuwa makini mbegu ya udini itatumaliza', bila kutwambia u wapi huo udini.
Sawasawa?

nenda youtubeangalia,'kubali matokeo','huyu simtoi' sijui najiamini huna mambo ...ukiangalia kwa undani either ni nyimbo ya nyumba kubwa au ndogo 'ikiitoleana uvivu' kuhusu mume.
 
hayanifiki wa isha,mzuri pia
 
Last edited by a moderator:
nenda youtubeangalia,'kubali matokeo','huyu simtoi' sijui najiamini huna mambo ...ukiangalia kwa undani either ni nyimbo ya nyumba kubwa au ndogo 'ikiitoleana uvivu' kuhusu mume.

sijakataa kama zipo za vijembe, tena za kutosha tu!
Ila zenye maudhui ya dhati pia zipo...
Sawasawa?
 
hivi kwa nini music wa taarab mara nyingi ujumbe wake ni wa kutambiana kuchukuliana mwanaume,utasikia 'huna mambo',hunirushi roho...utalijua jiji. nimesikiliza ni wanawake kutambiana kumchukua mume..hivi wale wanamusic wa taarab hawana ujumbe mwingine kama mgao wa umeme,maisha kupanda...huduma mbovu za nchi yetu au hainogi LOL.....

Ok wacha watu wa pwani tuwape somo-

1) hiyo uliyoweka ni modern taarab (RUSHA ROHO) .. Na ina rahayake sometimes Kitu VIP la mzee yusph enzi za jahazi yaani we acha tu! ukipigwa nyumbani roho inatuliaa inawezekana isielimishe BUT ZINA BURUDISHA Au da getu ulitaka kila nyimbo iimbe ukimwi na matatizo tu!

2) Taarabu yenyewe kabisa zilipendwa siku hizi haziimbwi sana Mfano wa taarabu halisi ni huu hapa CHINI

3) KUNA BASHRAF NI AINA YA TAARAB LAKINI NI MELODY TUPU SIKILIZA NYIMBO CHINI HIZO MELODY ZINAZOANZA NDIO MFANO WA BASHRAF

Last edited by a moderator:
Afu ile mimama ya taarabu haiwezi kitu kwenye suala zima, maneno tu vitendo hamna kitu, nilishawahi litest moja.
 
wewe tunga huo wimbo wa Dowans halafu wapelekee waimbe. Nalog off
DaGetu huyu wa kutaka kupelekwa vacation spain utadhani atakuja kukubali utamaduni wa mswahili ..? mwenyewe kisha zoea kina alicia keys, jlo .. hehehe Rusha Roho! kama jina lake lilivyo ! kazi yake ni kurusha roho .. yawezekana kusiwe na ujumbe but burudani ipo!.. na hayo mafumbo ndio buradani yenyewe maeneo yetu ya uswahili ... aende kwenye shows za taarab aone ukumbi unavyojaza watu.. hizo ndio vacations zao bana kwa bei rahisi kabisa wakitoka hapo roho nyeupee
 
Taarabu na siasa wapi na wapi :A S embarassed:! yaani ni sawa na muziki wa R&B wakaimbe mambo ya ubaguzi wa rangi au matusi kama hip hop? hii ni TAARABU na huo ndio ujumbe tunaoutaka katika nyimbo zao,mambo ya siasa wataimba Wagosi wa Kaya.Nalog off
 
Ok wacha watu wa pwani tuwape somo-

1) hiyo uliyoweka ni modern taarab (RUSHA ROHO) .. Na ina rahayake sometimes Kitu VIP la mzee yusph enzi za jahazi yaani we acha tu! ukipigwa nyumbani roho inatuliaa inawezekana isielimishe BUT ZINA BURUDISHA Au da getu ulitaka kila nyimbo iimbe ukimwi na matatizo tu!

2) Taarabu yenyewe kabisa zilipendwa siku hizi haziimbwi sana Mfano wa taarabu halisi ni huu hapa CHINI

3) KUNA BASHRAF NI AINA YA TAARAB LAKINI NI MELODY TUPU SIKILIZA NYIMBO CHINI HIZO MELODY ZINAZOANZA NDIO MFANO WA BASHRAF

Ahsante kwa kunikumbusha mbali :poa.Nalog off
 
Last edited by a moderator:
getruda,ahsante sana kwa wimbo uliouweka,sio kila kitu siasa tu,wacha watu pwani tufaidi raha ya maisha kwa burudani safi ya TAARABU.Nalog off
 
Taarabu haina mashiko siku hizi mambo yote iko huku! NDEMBENDEMBE...
pandehizindembemdembe.jpg
 
Back
Top Bottom