Taabu ya mama

Ili kabinti kasome.

Baada ya miaka miwili ya sekondari kanabeba mimba.
 
Nani Kama Mama?
Heri Na Baraka Kwake
Hapo Anaipigania Family Ile Ivae Isome!!!
 
Mama, mama mama! Daah, sijui hata nianze na lipi la kusimulia,.. Acha kabisa. Mungu kampa moyo wa pekee saana. Nakupenda mama. Mungu akubariki.
 
Inaumiza sana hii picha mama zetu wamepitia na wanapitia mengi kutulea taifa hili ni masikini Mungu atuongoze ili wakulima wapate kipato kinachoeleweka kukizi mahitaji yao na familia.
 
Halafu vitu anavyouza hata havina thamani ya 5K, then kuna watu wanasema 15 million kwa mwezi sio hela [emoji83] [emoji83] [emoji84] [emoji84] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
HAPO FAMILIA ITAPATA HATA FUNGU LA DAGAA NA KILO YA UNGA NA ATASEVU MKUU
 
tnadharau mama zetu wamehngaika sana kwa ajili yetu hadi hapa tulipo ajabu ni kwamba mama mmoja anahangaika na watoto hata watano lakini watoto watano hawawezi kumhangaikia mama mmoja.............
inauma sana jamani wamama kama hawa nikiwaona huwa nawaza sana unakuta ana sinie la mchicha kichwani na katotot mgongoni huwa machozi na mawazo ya kila aina yananipata .....


namsifu sana diamond na wengine wenye kuwapenda mama zao ... mama anafanya kila liwezekanalo kwa mwanawe si mama simba, paka, kuku wala binadamu



mama ni mungu wa hapa duniani akiamua kukuteketeze ukiwa hujitambui anaweza pia
 
kweli kabisa mdau
 
Da mbona mnaumiza watu? ninavyohangaika na watoto huku mhusika akitumbua maisha huwa siamini wanaume wengine wameumbwaje? kula maisha baba iko siku utakuja na kisukari, BP ukidai watoto uliowatupa wakutibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…