mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,357
- 56,191
Ujana maji ya moto na kila kijana na ulevi wake usipokuwa mlevi wa pombe, utakuwa unasmoke otherwise totoz kwa sana
nakumbuka visa vingi kabla sijaoa.
Enzi hizo nilikuwa na wadada wawili jane na neema wote nawamiliki bila wao kujijua, nawapanga kila mmoja kwa wakati wake kwa vile nilikuwa nimepanga sikuwa nawapeleka hotelini kila kitu tulikuwa tunamalizia nyumbani, siunajua wanawake wakaanza kujisahaulisha chupi, mara kanga kuja kuhamaki ndani kuna chupi za kike kama nane na khanga kibao.
Huyu jane mkorofi akaweka na picha yake kwenye frame akaitundika ukutani, uzuri nikawa najua hii chupi ya jane hii ya neema halikadhalika ya neema sasa neema akisema anakuja naanza kukusanya chupi na khanga na sandals za jane na kuzificha kwenye sanduku lenye password, akiondoka narudisha, na jane nae akisema anakuja nakusanya vyupi vya neema na kuvificha akiondoka navirudisha kabatini.
Siku isiyo na jina Neema namkuta ananisubiri mlangoni kuingia ndani anakutana na picha ya jane ukutani kufungua kabati anakuta michupi oversize khanga, na sandles hazielei du, nikaona isiwe tabu nikamuomba msamaha mpaka leo ni mke wangu huu mwaka wa nne na tuna mtoto, vyupi na picha ya jane tupa kule.