luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Wadau wa magari, naomba remarks Zenu kuhusu ili, Ninafsi naona taa zinazotoa mwanga mweupe zikikutana na taa za mwanga wa yellow maona nyeipe zinafunikwa ....
Wadau wa magari, naomba remarks Zenu kuhusu ili, Ninafsi naona taa zinazotoa mwanga mweupe zikikutana na taa za mwanga wa yellow maona nyeipe zinafunikwa ....
Kabisaa jana mm nilikuwa road kwa mara ya kwanza na izi taa nyeupe aisee nikasema izi taa ni chaka sanaaaUkitaka kujua ubovu wa taa nyeupe usafiri usiku ukutane na mvua ndio utajua hujui. Ukifika salama mwisho wa safari ninauhakika utaenda kung’oa hizo taa
Mkuu taa zako ni za booster au za kawaida?Kabisaa jana mm nilikuwa road kwa mara ya kwanza na izi taa nyeupe aisee nikasema izi taa ni chaka sanaaa
Yaan nilikiwa nikipishana na malori basi nilikiwa nazima izi taa, zenyewe ni nzuri ukiwa pekee yaan hakuna unae pishana nae weka full light on uta enjoy
Zile ni za booster mkuu wa kayaMkuu taa zako ni za booster au za kawaida?
Kwa issue ya taa kila mtu na mtazano wakrWadau wa magari, naomba remarks Zenu kuhusu ili, Ninafsi naona taa zinazotoa mwanga mweupe zikikutana na taa za mwanga wa yellow maona nyeipe zinafunikwa ....
Zile nyeupe zenye fan C6 hazina nguvu kabisa..mimi nilifunga na nilikua na safari siku husika ilibidi niweke za mwanga mweupe lakini ni za halogen ila ni 5000K zipp fresh ndo ninazozitumia hadi leo nikipiga full lazima uombe zipunguzwe..zile za yellowish nimeweka kwenye Fog lights.Kwa issue ya taa kila mtu na mtazano wakr
Lakin zile taa zenye yellowish ndo nzuri
Nilitoa siku za nyuma niafunga zile nyeupe
Zina fan ndani yake kuongeza ufanisi
Lakin
Muangaza wake ni mzuri giza likiwa kali na ukiwa peke yako road
Ila hazioneshi vizuri kama zile zenyr njano
Ukweli ni kwamba baada ta muda nilizigawa bure kabisa nikarudisha zile zimekuja na gari
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hahahahahah huwa mvua ikianza lazma upaki maana ikijimiks na ukungu tu umeisha🤣Ukitaka kujua ubovu wa taa nyeupe usafiri usiku ukutane na mvua ndio utajua hujui. Ukifika salama mwisho wa safari ninauhakika utaenda kung’oa hizo taa
Af wale jamaa wanakusokota kichizi eti braza hizi ndio zenyewe wanakufungia tubalbu twa buku 5 utajua hujui hapo road🤣🤣🤣Dah...umenikumbusha....kuna wajinga waliniuzia pale lumumba taa nyeupe nikawa nasafiri naenda arusha alafu usiku ......bas mvua nayo hiyo mara wiper moja imeng'oka imeruka.....lami ndio siioni kabisaaa
Nlikua natumbua macho kwenye barabara utadhani mjusi kabanwa na mlango....mwisho wa siku ikabid nilale tu moshi asubuh nikaendelea.....nlivorud town cha kwanza ilikua ni kuing'oa ile mitaa....
Hio ilishanikuta mzee na hapo taa ilikuwa ya njano niliendesha 40km/h mpaka kipande kile kilipoishia mwenye taa nyeupe alipark kabisa.ukikutana na ukungu maeneo ya kama mafinga au njombe ndio utasimulia yote
lorry ikikutwanga full hamna kitu yani bora uzime😅😅😅na anga likiwa na mbalamwezi pia huoni kituKabisaa jana mm nilikuwa road kwa mara ya kwanza na izi taa nyeupe aisee nikasema izi taa ni chaka sanaaa
Yaan nilikiwa nikipishana na malori basi nilikiwa nazima izi taa, zenyewe ni nzuri ukiwa pekee yaan hakuna unae pishana nae weka full light on uta enjoy
lorry ikikutwanga full hamna kitu yani bora uzime😅😅😅na anga likiwa na mbalamwezi pia huoni kit
Sie wenye magari ya kizamani yenye taa za kutumia busara ukiwa road huwa hatutaki tabu tukimwona mtu anakuja nyuma unampisha, akikupita tu unaunga unakuwa nyuma yake kwa gape la 5 - 10 metres ili akusaidie ku-block mwanga wa magari ya mbele yanayokuja. Kasheshe liwe mbele VIEITEEE yaani utaenda nalo dakika kadhaa baadae unaliona hiloooooo maana ukikomaa unaona ngoma sterling inatikisikaUkitaka kujua ubovu wa taa nyeupe usafiri usiku ukutane na mvua ndio utajua hujui. Ukifika salama mwisho wa safari ninauhakika utaenda kung’oa hizo taa