Taa zenye mwanga mweupe VS mwanga wa yellow

Ukitaka kujua ubovu wa taa nyeupe usafiri usiku ukutane na mvua ndio utajua hujui. Ukifika salama mwisho wa safari ninauhakika utaenda kung’oa hizo taa
Kabisaa jana mm nilikuwa road kwa mara ya kwanza na izi taa nyeupe aisee nikasema izi taa ni chaka sanaaa

Yaan nilikiwa nikipishana na malori basi nilikiwa nazima izi taa, zenyewe ni nzuri ukiwa pekee yaan hakuna unae pishana nae weka full light on uta enjoy
 
Rangi ya Fog lights ndo rangi sahihi!

Kuna wajanja/washamba wana-tint tail/break lights! Wanaojiita askari nao kwa kuwa ni wakaririji tu, wanawaacha waende ila wakiona Pick up haijabandika vistika vya ung'aavu, wanakamata!

Break light kubuniwa vile ni akili kubwa baada ya utafiti mkubwa, sio kilevi levi tu, vere makusudikali endi usalamakali!
 
Wadau wa magari, naomba remarks Zenu kuhusu ili, Ninafsi naona taa zinazotoa mwanga mweupe zikikutana na taa za mwanga wa yellow maona nyeipe zinafunikwa ....
Kwa issue ya taa kila mtu na mtazano wakr
Lakin zile taa zenye yellowish ndo nzuri
Nilitoa siku za nyuma niafunga zile nyeupe
Zina fan ndani yake kuongeza ufanisi
Lakin
Muangaza wake ni mzuri giza likiwa kali na ukiwa peke yako road
Ila hazioneshi vizuri kama zile zenyr njano
Ukweli ni kwamba baada ta muda nilizigawa bure kabisa nikarudisha zile zimekuja na gari

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Dah...umenikumbusha....kuna wajinga waliniuzia pale lumumba taa nyeupe nikawa nasafiri naenda arusha alafu usiku ......bas mvua nayo hiyo mara wiper moja imeng'oka imeruka.....lami ndio siioni kabisaaa

Nlikua natumbua macho kwenye barabara utadhani mjusi kabanwa na mlango....mwisho wa siku ikabid nilale tu moshi asubuh nikaendelea.....nlivorud town cha kwanza ilikua ni kuing'oa ile mitaa....
 
Zile nyeupe zenye fan C6 hazina nguvu kabisa..mimi nilifunga na nilikua na safari siku husika ilibidi niweke za mwanga mweupe lakini ni za halogen ila ni 5000K zipp fresh ndo ninazozitumia hadi leo nikipiga full lazima uombe zipunguzwe..zile za yellowish nimeweka kwenye Fog lights.
 
Ukitaka kujua ubovu wa taa nyeupe usafiri usiku ukutane na mvua ndio utajua hujui. Ukifika salama mwisho wa safari ninauhakika utaenda kung’oa hizo taa
Hahahahahah huwa mvua ikianza lazma upaki maana ikijimiks na ukungu tu umeisha🤣
 
Dah...umenikumbusha....kuna wajinga waliniuzia pale lumumba taa nyeupe nikawa nasafiri naenda arusha alafu usiku ......bas mvua nayo hiyo mara wiper moja imeng'oka imeruka.....lami ndio siioni kabisaaa

Nlikua natumbua macho kwenye barabara utadhani mjusi kabanwa na mlango....mwisho wa siku ikabid nilale tu moshi asubuh nikaendelea.....nlivorud town cha kwanza ilikua ni kuing'oa ile mitaa....
Af wale jamaa wanakusokota kichizi eti braza hizi ndio zenyewe wanakufungia tubalbu twa buku 5 utajua hujui hapo road🤣🤣🤣
 
Kabisaa jana mm nilikuwa road kwa mara ya kwanza na izi taa nyeupe aisee nikasema izi taa ni chaka sanaaa

Yaan nilikiwa nikipishana na malori basi nilikiwa nazima izi taa, zenyewe ni nzuri ukiwa pekee yaan hakuna unae pishana nae weka full light on uta enjoy
lorry ikikutwanga full hamna kitu yani bora uzime😅😅😅na anga likiwa na mbalamwezi pia huoni kitu
 
Nyie wenye magari, kwanini mnawekaga taa nyeusi kwenye gari ? Sijui mnabandika tinted au vipi lakini gari nyingi siku hizi taa zake sio nyeupe unakuta ni nyeusi
Zina mwanga kweli ?
 
Ukitaka kujua ubovu wa taa nyeupe usafiri usiku ukutane na mvua ndio utajua hujui. Ukifika salama mwisho wa safari ninauhakika utaenda kung’oa hizo taa
Sie wenye magari ya kizamani yenye taa za kutumia busara ukiwa road huwa hatutaki tabu tukimwona mtu anakuja nyuma unampisha, akikupita tu unaunga unakuwa nyuma yake kwa gape la 5 - 10 metres ili akusaidie ku-block mwanga wa magari ya mbele yanayokuja. Kasheshe liwe mbele VIEITEEE yaani utaenda nalo dakika kadhaa baadae unaliona hiloooooo maana ukikomaa unaona ngoma sterling inatikisika
 
Back
Top Bottom