Taa izimwe isizimwe?

soma vizuri imeandikwa si wanandoa (they are excluded)

Ok nimekupata lakini suala bado liko pale pale,hao wapenzi inategemea wanamuda gani kwenye mahusiano yao.kama ni ya muda mrefu,duu,haijaka vizuri ni vyema wapenzi wakafahamiana vizuri sio kwa nje tu hata kwa ndani pia.
 
Taa iwashwe tena yenye mwanga mkubwa, si unajua macho yakishaona chakula hata mdomoni mate yanatoka. Vivyo hivyo hata kwenye chakula cha usiku.
 
Kwa nini izimwe? Raha ya mapenzi kuona, kunusa, kuhisi, kugusa; unatakiwa jamaa anapokuja na kutoka unamuona, sasa ukizima itakuwaje?
 
......... Wala haipendezi kuzimwa taa, inabidi kuwe na mwanga ilimradi usiwe mkali sana ili kila mtu afurahie uumbaji wa Mungu kwa mpenzi wake.
 
Haya mambo ya kuzima taa ni ya mwaka 47, unaficha nini sasa? Kwanza kumuona mwenzio kunaongeza zaidi yale mahanjam na kuangalia funny faces zinazoonyeshwa na wapendanao wakiwa kwenye shughuli au kuangalia macho ya mwenzio yanavyozidi kupendeza na kukuongezea hamu zaidi. Mwanga ni muhimu lakini usiwe mkubwa sana kama ule wa kutafutia sindano ya kushonea iliyoanguka sakafuni.
 
Ukifika wakati wa chakula cha usiku, wapo baadhi ya watu lazima taa izimwe,je ni aibu? au kuogopa kupigwa chabo? amini usiamini wapo wapenzi( si wanandoa)
ambao hadi leo hawajuani mwenzie yupo vipi. japo kila siku wanavunja amri ya saba.Tena sio kuzima taa tu ila pamoja na kuzima taa bado mnajifunika shuka gubigubi, mwe? wewe mwana JF unasemaje taa izimwe? isizimwe?
Tall, unashida nyingi zikusumbuazo!!!
 
Mimi nadhani tusim-crush mtu, eti kwa vile huwa anazima taa. Kumbuka; kuwa tupo tofauti, so ninashauri kwamba; wewe fanya lolote linalokufanya wewe na mpenzi wako muwe comfortable, kama iwe ni kuzima taa au vinginevyo.
We are not the same!
 
Tall, unashida nyingi zikusumbuazo!!!
Nadhani wewe una shida nyingi zaidi yangu mheshimiwa, maana baada ya kufikiria shida zako tayari unajumulisha na shida za wengine je?fulani (tall) ana shida nyingi eeh? hizi thread ni mambo yanayotokea mara kwa mara kwenye mapenzi. Siyo lazima mtoa thread awe ndilo linamhusu/msumbua au yupo vile, lakini wapo wanaobenefit na michango ya watu kutokana na thread hizi,ni ukweli uliowazi kuwa hata wewe aidha unapenda kuzima taa au unapenda iwake,hapa lengo ni kupata faida na hasara za kuwasha au kuzima taa,baada ya mjadala wana JF wataamua upande gani wautumie na unafaa zaidi, na kwa kweli nawaheshimu wote na na uheshimu mchango wa mawazo wa kila mtu. Mfano mwanaume anaweza akatetea sana hapa ndoa ya wake wengi,lakini kwa ukweli ana mke mmoja, na hafikilii kuongeza. Hapa wakati mwingine ni kama debate vile,hadi hapo utaelewa kama nina shida nyingi au la.
 
why not dim the light tu! Utakula vitu zisovoliwa gizani ahahahahha!
 
Ukifika wakati wa chakula cha usiku, wapo baadhi ya watu lazima taa izimwe,je ni aibu? au kuogopa kupigwa chabo? amini usiamini wapo wapenzi( si wanandoa)
ambao hadi leo hawajuani mwenzie yupo vipi. japo kila siku wanavunja amri ya saba.Tena sio kuzima taa tu ila pamoja na kuzima taa bado mnajifunika shuka gubigubi, mwe? wewe mwana JF unasemaje taa izimwe? isizimwe?


Tall, hawa watu ni wazinzi. Kwa hiyo inaweza kutokea kwamba mmoja ana-dictate terms. Kama anapenda taa iwashwe basi itakuwa hivyo au itazimwa:rolleyes::rolleyes:.

Ila kwa wale wenye uzoefu na huo uzinzi basi wanaweze kukubaliana, ama kuwasha mwanga mkali, dim light (eg mshumaa) au kutokuwasha kabisa:rolleyes::rolleyes:.

No strict rule kwa sababu hii ni biashara (ambayo Mzee Ruksa alisema lazima muuzajini na mnunuzi wakubaliane).

From DC.
 
mi nakulaga lunch la usiku mchana tu! kwa hiyo mambo ya taa hayanihusu kabisa.
mambo ya gizani nawaachia ma-traditionalist.
 
mliowahi kuishi kwenye baridi...sio lile la mtoni, NO, hapa hapa, kama makambako hivi,
demu akiingia room anawahi bafunini anarudi spidi anajichomeka kwenye mashuka na mablanketi. sasa hata ukiwasha taa, haisaidii, kuna baridi ile mbaya na hata wewe unatamani kuingia kwenye mablanketi.

hapo sasa kama hutakula chakula kisicho na jina utaniambia.......

Angalizo, acheni kula chakula ya usiku iliyoandaliwa na strangers, it is bad for your health.
 
ukila gizani unaweza kula konokono! washa taa na mambo yatakuwa fresh tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom