kagumyamuheto
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 286
- 3
Nawashauri CDM wachapishe t-shirt zenye picha ya Dr Slaa na nembo ya flag ya Tz then ziuzwe na zivaliwe na wafuasi wa CDM ambao ni 64% kuonesha kuwa walimchagua.
Ni MARUFUKU KUZIVAA "TANZANIA". HUU SIO MUDA WA KAMPENI! NI MUDA WA KUJENGA NCHI!. MKIBISHA MTAPAMBANA NA RUNGU LA DOLA. SI MNAJUA MMETENGENEZA BIFU NA DOLA?? MMESUSIA HATA SHEREHE ZA UHURU! EBO?? ETI NINI???
thats great! It soothes to have a feeling that, despite the what ccm have done and continue to do, wazalendo wa kweli wanaendelea kuwa na ari ya kupigania nchi yao. Hawakati tamaa. Wanakuja na ideas ambazo ni mchango mkubwa katika mapambano yanayoendelea.
dah........ post yangu ya kuvaa tisheti nyeupe au ya taifa staz wameichakachua... kha!!!