T.I ataja orodha ya marapa 50 bora

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Messages
6,199
Points
2,000

Scars

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2017
6,199 2,000
wana wana DUNDAING,

Vitu vidogo sana mwana wacha KUMAIND,

MIND your business huna hata HYUNDAI,

unavimba bar wakati bank ina KUDAI,
Mashabiki wanapenda flow za Nikki
Wanahoji vipi? mbona si sikiki/

Tuzo hamnipi,Nikidiss wanasema natafuta kick/
Nchi ambayo 50 Cent, analipwa mimi silipwi/
 

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Messages
5,569
Points
2,000

steveachi

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2011
5,569 2,000
Daah,kuna wanyamwezi nawaonaga kwa tv wanaimba balaa halafu sijawaona,hiyo list ya pili ni fake hata drake hayupoo,mfyuuuuuuuui
 

Forum statistics

Threads 1,344,382
Members 515,441
Posts 32,818,409
Top