T.B. Joshua amebeba siri gani kifuani, anatumika

T.B. Joshua amebeba siri gani kifuani, anatumika

nasikia alitungwa mimba miezi zaidi ya 15.
alizaliwa anatembea.

Huyu jqmqq qnastory nyingi, Ila Ile Video ya Yule msaidizi wake anamuexpose ujanja wake ilinifanya nimuweke dustbin maana sijaona akijibu, na jamaa alitoa ushahidi wote wa sanaa za lile kanisa. Ipo Youtube.
 
Tb Joshua ahangaiki na watu wenye akili ndogo kama nyie msieamini nguvu za Mungu.
Kama kweli anamtumikia Mungu kwa nini hashindwe kufanya anayoyafanya! Tena haya ni machache tu. Atakuja mwingine atafanya makuu zaidi ya hayo. Hakuna jambo lisilowezekana kwa Mungu
Kikubwa ni imani na kuamini uwepo Wa Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Anafanya nini sasa, haya yapi?! Kama anaponya wagonjwa next time akija ikulu, wampeleke OCEAN ROAD CANCER HOSPITAL , iko nyuma ya ikulu pale, awaponye wagonjwa. Akifanya hivyo nami nitamfuata. Lakini hizi story sio mpya. Unaweza kuta wewe naye nabii umekusanya wajinga unapiga vijicenti vyao.
 
nasikia alitungwa mimba miezi zaidi ya 15.
alizaliwa anatembea.

Huyu jqmqq qnastory nyingi, Ila Ile Video ya Yule msaidizi wake anamuexpose ujanja wake ilinifanya nimuweke dustbin maana sijaona akijibu, na jamaa alitoa ushahidi wote wa sanaa za lile kanisa. Ipo Youtube.
Hahaha ni waongo wote, wameshagundua watu waoga maisha haya, akiwatishia moto wa jeanum wanatoa pesa utadhani yeye ameshafika mbinguni.
 
Hahaha ni waongo wote, wameshagundua watu waoga maisha haya, akiwatishia moto wa jeanum wanatoa pesa utadhani yeye ameshafika mbinguni.
Pamoja na ukweli hata shetani anaweza kufanya miujiza tena mikubwa ila wengi wa wapendwa huwa hawafanyi miujiza. Ndio maana kipindi cha ushuhuda ni kukubwa kuliko kipindi cha kufanya miujiza live online.

Wengi wanachofanya ni Hypnosis
 
mkuu Joel oesteen habari nyingine kaka.
kanisa lake ndilo linawafuasi wengi sanaa kwa USA na nafikiria kwa Dunia pia just imagine anaingiza watu laki 5 kwa mkupuo..linaitwa Lakewood church so pw lile kanisa niliendaga kusali utadhani cjuh viwanja vingap vya Mpira viunganishwe
lakini ki uhalisia Joel Ni real servant hata Yule Joyce Mayer na bill Graham naye ni mtumishi wa kweli kabisa .huyu mzee kadanja mwaka Jana akiwa na 99yr .shuhuda zake ni Kweli anatumika
huyo TD jakes duuh celew lakini yeye yupo kwenye zile top 5 za mapasta wenye mtonyo Dunini.hata Joel naye yupo..

tukirudi kwa TB Joshua
huyo Bila kupepesa wala kumungunya ni agent wa Lucifer 100%
hakuna neno pale ni upotoshaji tu.

lakini kiongozi huwez amini hata katika top 10 ya makanisa Lagos hilo la Tb Joshua HALIPO.
kuna watu vipanga kule lagos Tb akasome

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wote naona type moja tu. Joe Osteen ni inspirational, Joyce Mayer ni muhubiri wa kawaida, TB jakes wale wale tu. Kuna mwingine anaitwa sijui Dun Hill wote walewale tu binafsi hawaniibii.
 
Pamoja na ukweli hata shetani anaweza kufanya miujiza tena mikubwa ila wengi wa wapendwa huwa hawafanyi miujiza. Ndio maana kipindi cha ushuhuda ni kukubwa kuliko kipindi cha kufanya miujiza live online.

Wengi wanachofanya ni Hypnosis
Hahaha na video zao wana edit kutudanganya.
 
Mimi naamini na nitaendelea kuamini kuwa binadamu wote yaani wote hata hawa waliopewa mamlaka ya kutuongoza..wana matatizo ya akili..kila mtu....
Maana nashangaa sana watu wanavyotangatanga na hizi dini....Kama kweli Mungu ni yuleyule, biblia ni ileile still bado watu hawana imani na dini zao.HAPO ndipo napo amini hawa manabii NI kama wafanyabiashara tu, dini imekua biashara.....Ni marketing tu..na anayeweza kujimarket vizuri akapata wafuasi anapata na utajiri mkubwa.....
Unakuta mtu ni Mlutherani au RC au Anglikana etc....then kaenda kwa Gwajima,Mzee wa Upako,Mwingila,Rwakatare etc..kaona haitoshi kavuka milima na mabonde mpaka Nigeria....dah...
SIINGILII uhuru wa mtu yoyote manake kila mtu anahaki ya kuabudu atakavyo kulingana na sheria za nchi....Wasiwasi wangu isijekuwa kondoo wa Bwana wanapigwa pesa tu....na kupewa stress kulingana na mkanganyiko wa mafundisho tofauti tofauti na misimamo tofauti kuhusu mambo yaleyale na kutoka kwenye Muongzo mmoja yaani biblia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tapeli mkubwa huyu alisababisha jamaa yetu mmoja tukamchangia ili kunusuru nyumba yake isipigwe mnada na bank.
Kama hatukuungana wapiga fungi angekua sahizi ni mpangaji kwaajili ya tapeli kifua kikuu.
Heri ya mwaka mpya...
Hahahahahah hahahaha Dah
Poleni sana

Ova


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na hayo yote, T. B Joshua ni kati ya watu wachache sana wanaojiita manabii ambao mafundisho yao mengi yanajikita katika maandiko na asilimia kubwa ya ujumbe wake ni kuhusu imani (faith).
Pia ujumbe wake ni rahisi kumjenga mtu akasimama katika imani kama kweli ana nia ya kukua kiimani.

Mengine hayo ni Mungu ajuaye.
Yes,ana mafundisho ya kiroho mazuri sana,he is preaching gospel na hajawahi kumwambia mtu aache kumuamini Mungu,kumtukuza na kumsujudia,kwahiyo nadhani hii ndio kitu cha muhimu sana kinachowavuta watu wengi kwake ili waweze kupata Baraka za Mungu...
 
Hahaha na video zao wana edit kutudanganya.
Multimedia ndio moyo na uti wa mgongo wa hao jamaa. Bora Roho mtakatifu asiwepo kuliko mtaalam wa graphics na Studio nzima.
Ndio maana ukikagua waumini, lazima ukute wapo watu flani wanafanya eye surveillance na wako makini sana kudetect kama kuna mtu asiyeeleweka humo, ambaye harespond na kureact sawsawa na miongozo kule juu.

Angalia Ile Video ya Mohamed Ali wa Kenya alivyomfanyia investigation pastor Wangui wa Kenya na michezo yake Kanisani kwa kutumia spy camera, na kufanya secret private interview na timu yake. Usanii wa Kiwango cha juu sana. Au Nabii Buhari alipochomekea graphics za midori myeupe na kuaminisha watu malaika wameingia kanisani.

''Watu wangu wanaangamizwa kwa Kukosa Maarifa..'' Nabii Hosea.
 
Hahaha wote naona type moja tu. Joe Osteen ni inspirational, Joyce Mayer ni muhubiri wa kawaida, TB jakes wale wale tu. Kuna mwingine anaitwa sijui Dun Hill wote walewale tu binafsi hawaniibii.
ahaha duh sawa kaka vp yule pasta Houston wa hillsong church.
naye unamchukuliaje?!

ki ukweli wapo wa ukweli na uongo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom