T.B. Joshua amebeba siri gani kifuani, anatumika

Nimesoma makala yote na nimetoka patupu.Sana sana nimeona kama kuna interest za kidini.Sidhani kama kuna serikali inaimani ya huyo T.b Joshua ila watu wake ndio wanaomwamini huyo nabii.Kwa imani ya mwandishi wakienda raia wa kawaida is not an issue ila wakienda viongozi au kutembelewa na huyo Joshua ndio tatizo.
 
Mwandishi anaitwa Ahmed Rajab?

TB Joshua mimi binafsi sina interest naye lkn na nyinyi waislam mna mengi yanayowahusu ku-discuss kuliko kukomaa na inshu za wakristo.
UJINGA MZIGO MZITO SANA
 
Huyu hana tofauti na Manabii wenzake tunaowaona hapa Tanzania, sema yeye ni mjanja mjanja hagombani na serikali wala dini zingine. Kwani Gwajima wetu Enzi za Tanganyika Packers alikuwa na tofauti gani na T.B.Joshua? Gwajima alifunika vidini vingine vyote, kilianza kumuharibikia alipojiingiza mgogoro na Askofu Pengo,sijui ilikuwa makusudi au ilipangwa baada kuona anachanja mbuga zaidi. Kisha akaja kupata mgogoro na serikali tuliona alivyokuwa akiviziwa kama digidigi. Baada ya hapo likaibuka sakata lake na Makonda.Baada ya hapo aka mute, nasikia hata idadi ya waumini ilipungua kutoka ule umati mkubwa wa Tanganyika packers nasikia sikuhizi hata kanisa halijai.
Huyu T.B Joshua hana lolote, hakuna mlemavu, wala mgonjwa wa ukimwi aliponeshwa naye,ni ghiliba kama za wenzake za kupanga. Kama T.B Joshua ananguvu kama tuaminishwavya, mbona nguvu yake iligonga mwamba kwa NEC ya Tanzania. Aliaminishwa Lowassa ana nguvu kisiasa na ilikuwa hivyo, akapewa taarifa akamtabiria Lowassa kuwa angekuwa rais, lakini hakujua Mungu wake hana ubavu juu ya figisu za NEC yetu, Walichakachua mbele ya macho yake hakuamini, akarudi Lagos Mnyoonge.
Nikirudi kwenye mada still sihamini kwamba eti Nabii T.B.Joshua anasiri yoyote yamaana, kama siri ananyo ni siri za waumini wake tu. Kuwa na access na viongozi wetu wenye uchu wa madaraka haimaanishi eti anasiri za serikali au intelligence ya nchi hilo nakataa. Huyu nabii wa uongo tu ila ujanja ujanja kawazidi wenzake anaonekana yuko juu. Marekani kulikuwa na kina Graham walikufa hakuna hata alama iliyobaki, kuna mtu anaitwa TB.jakes alikuwa anahubiri anatokwa jasho utadhani anakimbia marathon, lakini kaisha. Hizi nyakati zake tu kama wale inspirational pastors kama Joel Oesteen muda utafika watamchoka nitakuja mimi nitawasumbuaaaa name wakinichoka unaweza kuja wewe au mwanao. Dini hizi ni ujanja tu. We tizama mamam rwakatare siku hizi havumi kama zamani, Kwasasa anayewasumbua wenzake bado ni Mwingira wa EFATA. lakini naye tutakuja msahau tu.
Siri TB.Joshua HANA zaidi ya zile za waumini wake.
Unaweza kutupa evidence alipomwambia Lowassa atakuwa rais wa Tanzania???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T.B joshua ni mwalimu wa imani hakuna kinachoponya zaidi ya imani kama hauamini muujiza hautokaa ukutokee kwenye maisha yako.
.
Mfatilie bwana mmoja anaitwa NICHOLAS SUGUYE hajui kabisa kufundisha yeye ni makelele muda wote yale yanayopingwa na T.B joshua.
.
Mtafute mwana theolojia yeyote kama atakuwa na doubt juu ya T.B joshua huyo atakuwa na mapungufu, lakini kwa kina gwajima ni sawa kuwafikiria mara nane nane
 
Mwandishi anaitwa Ahmed Rajab?

TB Joshua mimi binafsi sina interest naye lkn na nyinyi waislam mna mengi yanayowahusu ku-discuss kuliko kukomaa na inshu za wakristo.
Hapa mbona sijaona mwandishi kutaja ukristo au Uislam zaidi ya kutaja kuhusu usalama wa nchi ambazo viongozi wake wanamwamini T. B Joshua.
Ukiwa mfatiliaji wa mambo ya ueledi lazima utakuwa umepata point fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awe tapeli asiwe tapeli, kwani nyie watoto wa mchepuko inawahusu nini?
 
Huyu hana tofauti na Manabii wenzake tunaowaona hapa Tanzania, sema yeye ni mjanja mjanja hagombani na serikali wala dini zingine. Kwani Gwajima wetu Enzi za Tanganyika Packers alikuwa na tofauti gani na T.B.Joshua? Gwajima alifunika vidini vingine vyote, kilianza kumuharibikia alipojiingiza mgogoro na Askofu Pengo,sijui ilikuwa makusudi au ilipangwa baada kuona anachanja mbuga zaidi. Kisha akaja kupata mgogoro na serikali tuliona alivyokuwa akiviziwa kama digidigi. Baada ya hapo likaibuka sakata lake na Makonda.Baada ya hapo aka mute, nasikia hata idadi ya waumini ilipungua kutoka ule umati mkubwa wa Tanganyika packers nasikia sikuhizi hata kanisa halijai.
Huyu T.B Joshua hana lolote, hakuna mlemavu, wala mgonjwa wa ukimwi aliponeshwa naye,ni ghiliba kama za wenzake za kupanga. Kama T.B Joshua ananguvu kama tuaminishwavya, mbona nguvu yake iligonga mwamba kwa NEC ya Tanzania. Aliaminishwa Lowassa ana nguvu kisiasa na ilikuwa hivyo, akapewa taarifa akamtabiria Lowassa kuwa angekuwa rais, lakini hakujua Mungu wake hana ubavu juu ya figisu za NEC yetu, Walichakachua mbele ya macho yake hakuamini, akarudi Lagos Mnyoonge.
Nikirudi kwenye mada still sihamini kwamba eti Nabii T.B.Joshua anasiri yoyote yamaana, kama siri ananyo ni siri za waumini wake tu. Kuwa na access na viongozi wetu wenye uchu wa madaraka haimaanishi eti anasiri za serikali au intelligence ya nchi hilo nakataa. Huyu nabii wa uongo tu ila ujanja ujanja kawazidi wenzake anaonekana yuko juu. Marekani kulikuwa na kina Graham walikufa hakuna hata alama iliyobaki, kuna mtu anaitwa TB.jakes alikuwa anahubiri anatokwa jasho utadhani anakimbia marathon, lakini kaisha. Hizi nyakati zake tu kama wale inspirational pastors kama Joel Oesteen muda utafika watamchoka nitakuja mimi nitawasumbuaaaa name wakinichoka unaweza kuja wewe au mwanao. Dini hizi ni ujanja tu. We tizama mamam rwakatare siku hizi havumi kama zamani, Kwasasa anayewasumbua wenzake bado ni Mwingira wa EFATA. lakini naye tutakuja msahau tu.
Siri TB.Joshua HANA zaidi ya zile za waumini wake.
Unaweza ukatoa ushahidi kama T.B Joshua alimutabiria urais Lowassa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio nimesoma,vp nyinyi hamna ya ku discuss kuhusiana na maugomvi ya shia vs suni na mambo mengine ya waislamu?
Ahmed Rajab huweka mijadala yote yote bila kujali dini. Ukiisoma kwa makini hii makala utagundua haijadili dini ya ukristo bali inajadili ushawishi wa TB Joshua kwa viongoz waandamiz wa serikali za kiafrika na athari zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tb Joshua ahangaiki na watu wenye akili ndogo kama nyie msieamini nguvu za Mungu.
Kama kweli anamtumikia Mungu kwa nini hashindwe kufanya anayoyafanya! Tena haya ni machache tu. Atakuja mwingine atafanya makuu zaidi ya hayo. Hakuna jambo lisilowezekana kwa Mungu
Kikubwa ni imani na kuamini uwepo Wa Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app

Yah yupo mkubwa wao huyo anaitwa Massih Dajjal, ndio baba lao hao akina joshua, gwajima et al
 
Maelezo mengi, kusoma yote labda uwe jobless au mpenzi wa TB. Joshua.
Kama alikuwa mtu wa Mungu enzi hizo Sikh hizi ni debe tupu.
Ukimpima kwa Neno unapata jibu kuwa hana Mungu ndani yake ila ukimpima kwa kutazama umati wa kanisani kwake na videos zile mara kaenda hapa kusaidia huyu sijui yule utamkubali.
 
Huyu hana tofauti na Manabii wenzake tunaowaona hapa Tanzania, sema yeye ni mjanja mjanja hagombani na serikali wala dini zingine. Kwani Gwajima wetu Enzi za Tanganyika Packers alikuwa na tofauti gani na T.B.Joshua? Gwajima alifunika vidini vingine vyote, kilianza kumuharibikia alipojiingiza mgogoro na Askofu Pengo,sijui ilikuwa makusudi au ilipangwa baada kuona anachanja mbuga zaidi. Kisha akaja kupata mgogoro na serikali tuliona alivyokuwa akiviziwa kama digidigi. Baada ya hapo likaibuka sakata lake na Makonda.Baada ya hapo aka mute, nasikia hata idadi ya waumini ilipungua kutoka ule umati mkubwa wa Tanganyika packers nasikia sikuhizi hata kanisa halijai.
Huyu T.B Joshua hana lolote, hakuna mlemavu, wala mgonjwa wa ukimwi aliponeshwa naye,ni ghiliba kama za wenzake za kupanga. Kama T.B Joshua ananguvu kama tuaminishwavya, mbona nguvu yake iligonga mwamba kwa NEC ya Tanzania. Aliaminishwa Lowassa ana nguvu kisiasa na ilikuwa hivyo, akapewa taarifa akamtabiria Lowassa kuwa angekuwa rais, lakini hakujua Mungu wake hana ubavu juu ya figisu za NEC yetu, Walichakachua mbele ya macho yake hakuamini, akarudi Lagos Mnyoonge.
Nikirudi kwenye mada still sihamini kwamba eti Nabii T.B.Joshua anasiri yoyote yamaana, kama siri ananyo ni siri za waumini wake tu. Kuwa na access na viongozi wetu wenye uchu wa madaraka haimaanishi eti anasiri za serikali au intelligence ya nchi hilo nakataa. Huyu nabii wa uongo tu ila ujanja ujanja kawazidi wenzake anaonekana yuko juu. Marekani kulikuwa na kina Graham walikufa hakuna hata alama iliyobaki, kuna mtu anaitwa TB.jakes alikuwa anahubiri anatokwa jasho utadhani anakimbia marathon, lakini kaisha. Hizi nyakati zake tu kama wale inspirational pastors kama Joel Oesteen muda utafika watamchoka nitakuja mimi nitawasumbuaaaa name wakinichoka unaweza kuja wewe au mwanao. Dini hizi ni ujanja tu. We tizama mamam rwakatare siku hizi havumi kama zamani, Kwasasa anayewasumbua wenzake bado ni Mwingira wa EFATA. lakini naye tutakuja msahau tu.
Siri TB.Joshua HANA zaidi ya zile za waumini wake.
mkuu Joel oesteen habari nyingine kaka.
kanisa lake ndilo linawafuasi wengi sanaa kwa USA na nafikiria kwa Dunia pia just imagine anaingiza watu laki 5 kwa mkupuo..linaitwa Lakewood church so pw lile kanisa niliendaga kusali utadhani cjuh viwanja vingap vya Mpira viunganishwe
lakini ki uhalisia Joel Ni real servant hata Yule Joyce Mayer na bill Graham naye ni mtumishi wa kweli kabisa .huyu mzee kadanja mwaka Jana akiwa na 99yr .shuhuda zake ni Kweli anatumika
huyo TD jakes duuh celew lakini yeye yupo kwenye zile top 5 za mapasta wenye mtonyo Dunini.hata Joel naye yupo..

tukirudi kwa TB Joshua
huyo Bila kupepesa wala kumungunya ni agent wa Lucifer 100%
hakuna neno pale ni upotoshaji tu.

lakini kiongozi huwez amini hata katika top 10 ya makanisa Lagos hilo la Tb Joshua HALIPO.
kuna watu vipanga kule lagos Tb akasome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni mkristo chunga sana unachokisema kwa watumishi wa Mungu. Mimi ni Mkatoliki lakini nachukua tahadhari kubwa kujadili watumishi wa Mungu wa madhehebu mengine au mapadre.

Kama unataka kumkosoa mtu mfatilie anafundisha nini na kama anavua roho kweli kwenda kwa Kristo au kwake. Ili ujue kinachofundishwa kama ni sahihi au si sahihi jitahidi ujifunze kwa undani mafundisho ya dhehebu lako ili ukikubaliana na facts hizo utaweza kuona hayo madhaifu kwa msaada wa Roho Mtakatifu.

Wengi naona wanakurupuka tu kuita wengine matapeli na ukiuliza kwa msingi upi anakupa stori alizosimuliwa!

Kila huduma tutaona matunda yake na kama imetoka kwa Mungu itadumu kama lilivyodumu Kanisa Katoliki kama alivyotabiri Kristo maana Kristo aliacha imani lakini pia visible church yenye kiongozi wake na mitume wengine ambao waliishi kwa ushirika na kupeana madaraja ya kichungaji hadi leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuhofia wewe.
watumishi wa kweli wa Mungu wanajulikana kwa matendo na mienendo yao.uzuri wake Bible iliwagusia tangu zamani

kwanza tumepewa mamlaka ya kuzijaribu kila roho Cox siyo zote hutoka kwa Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni mkristo chunga sana unachokisema kwa watumishi wa Mungu. Mimi ni Mkatoliki lakini nachukua tahadhari kubwa kujadili watumishi wa Mungu wa madhehebu mengine au mapadre.

Kama unataka kumkosoa mtu mfatilie anafundisha nini na kama anavua roho kweli kwenda kwa Kristo au kwake. Ili ujue kinachofundishwa kama ni sahihi au si sahihi jitahidi ujifunze kwa undani mafundisho ya dhehebu lako ili ukikubaliana na facts hizo utaweza kuona hayo madhaifu kwa msaada wa Roho Mtakatifu.

Wengi naona wanakurupuka tu kuita wengine matapeli na ukiuliza kwa msingi upi anakupa stori alizosimuliwa!

Kila huduma tutaona matunda yake na kama imetoka kwa Mungu itadumu kama lilivyodumu Kanisa Katoliki kama alivyotabiri Kristo maana Kristo aliacha imani lakini pia visible church yenye kiongozi wake na mitume wengine ambao waliishi kwa ushirika na kupeana madaraja ya kichungaji hadi leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kukuuliza, unaamini kwamba kuna baadhi wachungaji/manabii ambao ni fake?

.... km unaamini, unawatofautishaje ?

Km huamini tuishie hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi jamani mambo unayoambiwa kanisani kwako umekamilisha kuyatekeleza ? kamilisha basi afu baadae ndo mtafute T B joshua. kwasababu huko kanisani kwako wanaongelewa kina Nabii Isaya, Daudi, Petro, Eliah n.k, Mwisho kabisa zipo habari za Yesu Mwokozi wetu hayo waliosema hao umekamilisha ?
 
Back
Top Bottom