System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

Kama Lowassa aliitegemea 'System' basi ingeweza kumsaidia alipokuwa ndani ya CCM.Kwa kuwa kwa sasa yuko nje ya 'System' hawezi kuitegemea tena.'System' yake nje ya CCM ni wanachama,wapenzi,mashabiki wa UKAWA,CHADEMA na yeye binafsi.
Ni mtu mwenye mawazo hasi pekee ambaye hataona 'impact' ya EL katika siasa za Upinzani kwa sasa.
Kiongozi makini ni lazima awe na ajenda, maono,mikakati n.k.
Hivi vitu EL anavyo. EL hahitaji mabingwa wa Uongozi,Utawala,Uchumi,Utamaduni,Falsafa n.k.wakae na kufanya 'research' kuwa ni namna gani atatengenezewa ajenda,maono na mikakati. Kama bado hujaona kuwa 'political landscape' ya TZ imebadilika vikubwa basi inabidi ubadili namna unavyofikiri..
 
Lowassa hategemei system ndugu zangu, system ipo na itaendelea kuwepo, anachokitegemea Lowassa ni wapiga kura na siyo system kama tuaminishwavyo, hapa ni kupiga kura nyingi tu kwa mgombea unayempenda ili awe mshindi.
 
Kama Lowassa aliitegemea 'System' basi ingeweza kumsaidia alipokuwa ndani ya CCM.Kwa kuwa kwa sasa yuko nje ya 'System' hawezi kuitegemea tena.'System' yake nje ya CCM ni wanachama,wapenzi,mashabiki wa UKAWA,CHADEMA na yeye binafsi.
Ni mtu mwenye mawazo hasi pekee ambaye hataona 'impact' ya EL katika siasa za Upinzani kwa sasa.
Kiongozi makini ni lazima awe na ajenda, maono,mikakati n.k.
Hivi vitu EL anavyo. EL hahitaji mabingwa wa Uongozi,Utawala,Uchumi,Utamaduni,Falsafa n.k.wakae na kufanya 'research' kuwa ni namna gani atatengenezewa ajenda,maono na mikakati. Kama bado hujaona kuwa 'political landcape' ya TZ imebadiliki vikubwa basi inabidi ubadili namna unavyofikiri..
Tatizo lako sakata la GAMBA umelijua juzi na wala huelewi lilianzia wapi...

Nasubiri wenye kulielewa jambo hili wa changie naona wengine ni jazba za kumshambulia mleta mada.

Lowassa alitishia watu sana kwamba ana watu kwenye system.

Ni nyie vijana koko wa Ukawa ambao mnahadaa watu kuwa huyu jamaa kwa kuwa anaijua system basi ataisumbua ccm.

Hayo ni maigizo tu...
 
Lowassa hategemei system ndugu zangu, system ipo na itaendelea kuwepo, anachokitegemea Lowassa ni wapiga kura na siyo system kama tuaminishwavyo, hapa ni kupiga kura nyingi tu kwa mgombea unayempenda ili awe mshindi.
Unaijua CCM Mtandao wewe?

Hao watu kaanza kuwapata lini kama si kujivika kilemba cha kukubalika ndani ya ccm ndio maana kina Mbowe wakababaika.
 
Hujui lolote nyamaza,Mary Nagu inafahamika kawekwa hapo na Lowassa,Masha yule wa IMMA Advocate ni mtu wa Kikwete kupita Riz 1 na kwa taarifa yako hakutemwa ndio maana hadi anakosa Ubunge alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani.Ni mjinga tu atakaefikiri kuwa kuondoka kwa Kingunge kuna athari hasi kwa CCM!

Lowassa hakuwa na nguvu ya kumweka mtu kama Mary Nagu ndio mbwembwe alizokuwa anawatapeli watu kama kina Mbowe.
 
System ya Lowasa , huwezi ukaing'oa ipo kila mahali.

System ni watu, hao ndio system kamili. Walioko kwenye madaraka ni sehemu ya system.
 
Unaijua CCM Mtandao wewe?

Hao watu kaanza kuwapata lini kama si kujivika kilemba cha kukubalika ndani ya ccm ndio maana kina Mbowe wakababaika.

Ccm mtandao unaijua wewe mwana mtandao, Mimi ninachoamini na fact ziko wazi, Lowassa anamtaji wa wpiga kura wengi sana kuliko mgombea yeyote, ukikusanya watu kumi (10) Lowassa atapata watu saba( 7) na kaka yangu ( 3).

Nisema kitu kimoja kama haki itatendeka bila vitisho wapiga kura wa mabadiliko( ukawa) ni wengi sana. Mungu ibariki Tanzania.
 
Chadema haitegemei nguvu ya system hata kwenye kauli mbiu ya Chadema ni Nguvu ya UMMA. Na kama Umma Lowassa anao. Sio maccm mnaopendelea kubebana na kulindana. Nchi Tanzania ni Yetu sote sio ya maccm na system yao.

Hiyo nguvu ya uma iko wapi, acha kudanganya watu, ni nguvu ya mafisadi, nguvu ya uma iliondoka na Dr.Slaa, iliyopo ss hivi ni nguvu ya viroba.
 
Tatizo lako sakata la GAMBA umelijua juzi na wala huelewi lilianzia wapi...

Nasubiri wenye kulielewa jambo hili wa changie naona wengine ni jazba za kumshambulia mleta mada.

Lowassa alitishia watu sana kwamba ana watu kwenye system.

Ni nyie vijana koko wa Ukawa ambao mnahadaa watu kuwa huyu jamaa kwa kuwa anaijua system basi ataisumbua ccm.

Hayo ni maigizo tu...
'Point' hapa si kuijua 'system' au la, bali ni kwa kiasi gani ana-'command' ushawishi kwa wapiga kura hasa vijana-hili ndilo linaloitisha CCM na Serikali yake. Kama EL ni 'Msanii' na 'Chui wa Karatasi' kwa nini Serikali itumie mabilioni kumkwamisha katika harakati zake? Za sasa na za wakati akiwa CCM?
Si ingetosha kum-'ignore'?
 
Ni ukweli usiopingika kuwa Lowassa ameanza harakati za kuusaka urais muda mrefu pengine toka 1995.

Mwaka 2005 akimsindikiza Kikwete, Lowassa alijiwekea mizizi au tuseme alitengeneza mtandao ambao ulimuingiza Kikwete madarakani na kumfanya yeye kuwa waziri mkuu.

Baada ya kutemwa uwaziri mkuu system ya Lowassa iliendelea kuwa madarakani kwa muda mfupi kabla ya Kikwete kuanza kuivuruga na kuisambaratisha kabisa.

Mpaka tunafika 2015 Kikwete alifanikiwa kabisa kuiondoa system ya Lowassa serikalini.

Nadhani alifanya hivi kwa maandalizi ya kumkata katika kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CCM pengine kwa maelekezo maalum

CHADEMA na Team Lowassa wamedanganyika na kile kilichoitwa nguvu ya waziri mkuu bila kujua ilishafutiliwa mbali.

Wengi wa wakurugenzi na wakuu wa taasisi ambao waliwekwa na Lowassa walishatemwa siku nyingi.

MaDC na MaRC loyal kwa Lowassa walishatemwa siku nyingi.

Kwa hiyo ile nguvu ya mamba baharini haipo kwani bahari ilishakaushwa.

Kwa sasa Lowassa amebakia na usanii tu kuaminisha watu kuwa ana mahusiano na system kumbe hamna kitu ni maigizo tu.

Hili laweza thibitishwa na kauli kinzani kutoka UKAWA. Mbowe anasema lindeni kura wakati Lowassa alisema pigeni kura na kazi ya kuzilinda aachiwe, hizi ni sentensi mbili kinzani kutoka katika taasisi moja.

Vijana wanapaswa kutambua Lowassa hana influence yoyote kwenye chama au serikali kwa sasa, makapi ya Lowassa yako nje na yanajaribu kurudi ndani ili kuweka mirija ya kula hela zetu tu.

Im so disappointed with CHADEMA baada ya kuuvaa mkenge huu wa kihuni ambao unaenda kuirudisha nyuma miaka 20.

Wafikirie waliohamia CHADEMA au UKAWA na uhusiano wao na CCM au serikali in the past 5 years ndio utanielewa.

Kwa sasa CHADEMA wajikite katika kampeni za ubunge zaidi ili kuokoa jahazi..operesheni ya siku nne...mission impossible!

Ukumbuke kuwa hata Nyerere wakati anaiondoa madarakani Serikali ya kikoloni pia hakuwa na watu ndani ya system zaidi ya mtaji wa wanachama wengi na wapenzi wa TANU ambao ndio walikipa chama chake cha TANU ushindi na baadae kuunda Serikali kwa mujibu wa katiba.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa Lowassa ameanza harakati za kuusaka urais muda mrefu pengine toka 1995.

Mwaka 2005 akimsindikiza Kikwete, Lowassa alijiwekea mizizi au tuseme alitengeneza mtandao ambao ulimuingiza Kikwete madarakani na kumfanya yeye kuwa waziri mkuu.

Baada ya kutemwa uwaziri mkuu system ya Lowassa iliendelea kuwa madarakani kwa muda mfupi kabla ya Kikwete kuanza kuivuruga na kuisambaratisha kabisa.

Mpaka tunafika 2015 Kikwete alifanikiwa kabisa kuiondoa system ya Lowassa serikalini.

Nadhani alifanya hivi kwa maandalizi ya kumkata katika kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CCM pengine kwa maelekezo maalum

CHADEMA na Team Lowassa wamedanganyika na kile kilichoitwa nguvu ya waziri mkuu bila kujua ilishafutiliwa mbali.

Wengi wa wakurugenzi na wakuu wa taasisi ambao waliwekwa na Lowassa walishatemwa siku nyingi.

MaDC na MaRC loyal kwa Lowassa walishatemwa siku nyingi.

Kwa hiyo ile nguvu ya mamba baharini haipo kwani bahari ilishakaushwa.

Kwa sasa Lowassa amebakia na usanii tu kuaminisha watu kuwa ana mahusiano na system kumbe hamna kitu ni maigizo tu.

Hili laweza thibitishwa na kauli kinzani kutoka UKAWA. Mbowe anasema lindeni kura wakati Lowassa alisema pigeni kura na kazi ya kuzilinda aachiwe, hizi ni sentensi mbili kinzani kutoka katika taasisi moja.

Vijana wanapaswa kutambua Lowassa hana influence yoyote kwenye chama au serikali kwa sasa, makapi ya Lowassa yako nje na yanajaribu kurudi ndani ili kuweka mirija ya kula hela zetu tu.

Im so disappointed with CHADEMA baada ya kuuvaa mkenge huu wa kihuni ambao unaenda kuirudisha nyuma miaka 20.

Wafikirie waliohamia CHADEMA au UKAWA na uhusiano wao na CCM au serikali in the past 5 years ndio utanielewa.

Kwa sasa CHADEMA wajikite katika kampeni za ubunge zaidi ili kuokoa jahazi..operesheni ya siku nne...mission impossible!

Hii inanikumbusha ile ya mrema amuonya lowasa kuhusu ushabiki wa watanzania.
 
Hakika wewe ni mtoto unayefaidika na CCM kwa sasa, kwa sisi tuliorithi miiko na maadili ya CCM ni mwiko kumjadili mtu kwa namna yeyote ile, kazi yetu ni kuonyesha tunayajua matatizo ya wananchi kueleza tutayatatua vipi na ni zipi changamoto zake, hivi unataka nisiamini na wewe unampenda EL ndio maana huishi kumzungumzia, na naamini CCM ya sasa sio ya mwalimu Nyerere kwa kuruhusu watu kama nyinyi kuisemea wenye kuendekeza taarabu na kusababisha watu kujaa kwenye mikutano ya ukawa sababu ya kick mnayompa, achana na CCm wewe na tutaijenga nakwambia si mnaibomoa, siku hizi haijulikani mpinzani ni nani na mtawala ni nani hovyo hovyo tu.
 
Back
Top Bottom