Lowasa alishakwama hana lake tena kwenye dunia na Taifa hili.
Umesahau kumalizia ASHAFELI!!!
Lowasa alishakwama hana lake tena kwenye dunia na Taifa hili.
N
Kwa hiyo ile nguvu ya mamba baharini haipo kwani bahari ilishakaushwa.
Hivi kwa mtazamo wako unahisi kabisa nec walikaa wakatafakari hayo majina, hata siku 1, msikilize kingunge viiiizuri alivyosema, mtu kaja na majina yake mfukoni,
Unahangaika na magamba? Hakuna hata mmoja asiye vuvuzela. hutu nae mamba wanakaa baharini, gfuli na sadam, waziri wa elimu anasema tz ni muungano wa pemba na zimbabwe,nec wapiga kura 22ml rais 28ml. Yaani aarghWewe ni mwongo. Mamba hawakai baharini labda bahari ya CCM
We pumba vu kweli,,sasa Chadema inakuhusu nn kama wao wamevaa mkenge,? halafu tatizo msilolijua ni moja,kuanguka kwa ccm ni maandiko,kwahiyo haya yote yanayotokea mnajidanganya kipumbavu tu
Lawrance Masha alishatemwa kitambo!
Sumaye hakuwa na ubavu kwa merry Nagu
Kingunge aliwekwa pembeni!
Vp upande wa pili mlikaa mkatafakari majina gani?
Ni ukweli usiopingika kuwa Lowassa ameanza harakati za kuusaka urais muda mrefu pengine toka 1995.
Mwaka 2005 akimsindikiza Kikwete, Lowassa alijiwekea mizizi au tuseme alitengeneza mtandao ambao ulimuingiza Kikwete madarakani na kumfanya yeye kuwa waziri mkuu.
Baada ya kutemwa uwaziri mkuu system ya Lowassa iliendelea kuwa madarakani kwa muda mfupi kabla ya Kikwete kuanza kuivuruga na kuisambaratisha kabisa.
Mpaka tunafika 2015 Kikwete alifanikiwa kabisa kuiondoa system ya Lowassa serikalini.
Nadhani alifanya hivi kwa maandalizi ya kumkata katika kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CCM pengine kwa maelekezo maalum
CHADEMA na Team Lowassa wamedanganyika na kile kilichoitwa nguvu ya waziri mkuu bila kujua ilishafutiliwa mbali.
Wengi wa wakurugenzi na wakuu wa taasisi ambao waliwekwa na Lowassa walishatemwa siku nyingi.
MaDC na MaRC loyal kwa Lowassa walishatemwa siku nyingi.
Kwa hiyo ile nguvu ya mamba baharini haipo kwani bahari ilishakaushwa.
Kwa sasa Lowassa amebakia na usanii tu kuaminisha watu kuwa ana mahusiano na system kumbe hamna kitu ni maigizo tu.
Hili laweza thibitishwa na kauli kinzani kutoka UKAWA. Mbowe anasema lindeni kura wakati Lowassa alisema pigeni kura na kazi ya kuzilinda aachiwe, hizi ni sentensi mbili kinzani kutoka katika taasisi moja.
Vijana wanapaswa kutambua Lowassa hana influence yoyote kwenye chama au serikali kwa sasa, makapi ya Lowassa yako nje na yanajaribu kurudi ndani ili kuweka mirija ya kula hela zetu tu.
Im so disappointed with CHADEMA baada ya kuuvaa mkenge huu wa kihuni ambao unaenda kuirudisha nyuma miaka 20.
Wafikirie waliohamia CHADEMA au UKAWA na uhusiano wao na CCM au serikali in the past 5 years ndio utanielewa.
Kwa sasa CHADEMA wajikite katika kampeni za ubunge zaidi ili kuokoa jahazi..operesheni ya siku nne...mission impossible!
ni ukweli usiopingika kuwa lowassa ameanza harakati za kuusaka urais muda mrefu pengine toka 1995.
Mwaka 2005 akimsindikiza kikwete, lowassa alijiwekea mizizi au tuseme alitengeneza mtandao ambao ulimuingiza kikwete madarakani na kumfanya yeye kuwa waziri mkuu.
Baada ya kutemwa uwaziri mkuu system ya lowassa iliendelea kuwa madarakani kwa muda mfupi kabla ya kikwete kuanza kuivuruga na kuisambaratisha kabisa.
Mpaka tunafika 2015 kikwete alifanikiwa kabisa kuiondoa system ya lowassa serikalini.
Nadhani alifanya hivi kwa maandalizi ya kumkata katika kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya ccm pengine kwa maelekezo maalum
chadema na team lowassa wamedanganyika na kile kilichoitwa nguvu ya waziri mkuu bila kujua ilishafutiliwa mbali.
Wengi wa wakurugenzi na wakuu wa taasisi ambao waliwekwa na lowassa walishatemwa siku nyingi.
Madc na marc loyal kwa lowassa walishatemwa siku nyingi.
Kwa hiyo ile nguvu ya mamba baharini haipo kwani bahari ilishakaushwa.
Kwa sasa lowassa amebakia na usanii tu kuaminisha watu kuwa ana mahusiano na system kumbe hamna kitu ni maigizo tu.
Hili laweza thibitishwa na kauli kinzani kutoka ukawa. Mbowe anasema lindeni kura wakati lowassa alisema pigeni kura na kazi ya kuzilinda aachiwe, hizi ni sentensi mbili kinzani kutoka katika taasisi moja.
Vijana wanapaswa kutambua lowassa hana influence yoyote kwenye chama au serikali kwa sasa, makapi ya lowassa yako nje na yanajaribu kurudi ndani ili kuweka mirija ya kula hela zetu tu.
Im so disappointed with chadema baada ya kuuvaa mkenge huu wa kihuni ambao unaenda kuirudisha nyuma miaka 20.
Wafikirie waliohamia chadema au ukawa na uhusiano wao na ccm au serikali in the past 5 years ndio utanielewa.
Kwa sasa chadema wajikite katika kampeni za ubunge zaidi ili kuokoa jahazi..operesheni ya siku nne...mission impossible!
Ukijaribu kuangalia mleta mada unacheza ile kitu wazungu wanaita mindgames eti kwamba ccm watashinda. Naomba kwanza nikuambie ukweli ulivyo, watu wengi sana walijiandikisha kabla hata huyo EL hajaja cdm/Ukawa, yale madhila ya kujiandikisha nadhani uliyoaona, na wote wale waliojiandikisha hasa vijana ni ili kuitoa ccm. Ile idadi iliyojitokeza kujiandikisha lengo lao kubwa ilikuwa ni mabadiliko na ndio unayoyaona sasa. Kilichotokea na ambacho hakikutarajiwa ni EL kuja upinzani japo hilo la kukatwa kwa EL huko ccm lilikuwa wazi na hofu kubwa ya ccm ilikuwa na nguvu kubwa ya upinzani na pindi watakapomsimamisha EL ingekuwa ngumu wao kumnadi kwani tayari ccm imekata pumzi. Kwa taarifa yako na ukweli ambao ccm hawataki kuukubali zaidi ya nusu ya waliojiandikisha ni kwa ajili ya kupiga kura ya hasira dhidi ya ccm na hilo wote mnalijua ndio maana hamuuishi kuhubiri amani huku mkikwepa kutamka kabisa neno haki!!!
Alichofanikiwa ama maajabu ni kwamba EL kadandia gari la mabadiliko pamoja na mapungufu yake akapewa usukani tu aendeshe gari, lakini kiu ya mabadiliko iko dhahiri. Kwa kulitambuo hilo ndio maana unaona mgombea wa ccm amegeuka kituko kwa kuiga mambo ya wapinzani kwani ndio hasa wenye hamasa na ndio kundi kubwa la wapiga kura, ukilinganisha na wanaccm wanaopigia kura kwa mazoe na kuvibebesha vyombo vya dola na tume ya uchaguzi jukumu la kuwapa ushindi. Ila angekuja EL upinzani wala asingekuja bado upinzani ungekuwa na watu wengi kwani hilo linadhibitishwa na idadi iliyojitokeza kujiandikisha kupiga kura na wengi wao ilikuwa ni kuing'oa ccm madarakani. Hivyo nyie kaeni mkihubiri amani ili mshinde kwa mabavu na sisi wapinzani hatuna muda wa kuhubiri amani bali haki, maana ndio msingi wa ukweli wa amani. Ila hilo la kwamba wapinzani wanategemea kushinda kwa sijui kuwa na watu kwenye system hayo ni mawazo ya kiccm ambayo ndio imekuwa nguzo yao ya kurudi madarakani mpaka kuishia kuhubiri amani wakati wanaitumia system hiyo kupora haki.
Ni ukweli usiopingika kuwa Lowassa ameanza harakati za kuusaka urais muda mrefu pengine toka 1995.
Mwaka 2005 akimsindikiza Kikwete, Lowassa alijiwekea mizizi au tuseme alitengeneza mtandao ambao ulimuingiza Kikwete madarakani na kumfanya yeye kuwa waziri mkuu.
Baada ya kutemwa uwaziri mkuu system ya Lowassa iliendelea kuwa madarakani kwa muda mfupi kabla ya Kikwete kuanza kuivuruga na kuisambaratisha kabisa.
Mpaka tunafika 2015 Kikwete alifanikiwa kabisa kuiondoa system ya Lowassa serikalini.
Nadhani alifanya hivi kwa maandalizi ya kumkata katika kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CCM pengine kwa maelekezo maalum
CHADEMA na Team Lowassa wamedanganyika na kile kilichoitwa nguvu ya waziri mkuu bila kujua ilishafutiliwa mbali.
Wengi wa wakurugenzi na wakuu wa taasisi ambao waliwekwa na Lowassa walishatemwa siku nyingi.
MaDC na MaRC loyal kwa Lowassa walishatemwa siku nyingi.
Kwa hiyo ile nguvu ya mamba baharini haipo kwani bahari ilishakaushwa.
Kwa sasa Lowassa amebakia na usanii tu kuaminisha watu kuwa ana mahusiano na system kumbe hamna kitu ni maigizo tu.
Hili laweza thibitishwa na kauli kinzani kutoka UKAWA. Mbowe anasema lindeni kura wakati Lowassa alisema pigeni kura na kazi ya kuzilinda aachiwe, hizi ni sentensi mbili kinzani kutoka katika taasisi moja.
Vijana wanapaswa kutambua Lowassa hana influence yoyote kwenye chama au serikali kwa sasa, makapi ya Lowassa yako nje na yanajaribu kurudi ndani ili kuweka mirija ya kula hela zetu tu.
Im so disappointed with CHADEMA baada ya kuuvaa mkenge huu wa kihuni ambao unaenda kuirudisha nyuma miaka 20.
Wafikirie waliohamia CHADEMA au UKAWA na uhusiano wao na CCM au serikali in the past 5 years ndio utanielewa.
Kwa sasa CHADEMA wajikite katika kampeni za ubunge zaidi ili kuokoa jahazi..operesheni ya siku nne...mission impossible!
Inaelekea unajua just a tip of an iceberg.
Wenzako wanahaha Lumumba kuweka mambo sawa lakini wameshindwa.
Aliekuambia amekujaza hewa.
Ukweli ni kwamba watu wa lowasa wapo wengi sana. Wamebaki CCM kimkakati.
Jiulize kwanini kikwete hajavunja baraza la mawaziri hadi leo?
Akili zako ndogo kama za nzi
Baraza la mawaziri halivunjwi kama kumtuma mtoto dukani linavunjwa kwa utaratibu na kwa kufuata sheria
Pamekuwa na minong'ono na maneno toka kila kona kwanini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Jakaya Mrisho Kikwete havunji baraza la Mawaziri huku wengi wa Mawaziri hao wakiwa busy kutafuta nafasi za uwakilishi za kurudi Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kampeni zinazoendelea.Inaelekea unajua just a tip of an iceberg.