System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

System aliyoitegemea Lowassa ilivurugwa na Kikwete!

Hakuna hata jipya nililosoma hapa. Hv jamiiforum imekuwa sehemu ya majungu na kejeli kweli?
Moderators wanafanya kazi kibabe kibabe tu na upendeleo bila kufuta uzi zisikuwa na maana yoyote.
 
kuna system inaweza kuwa juu ya wananchi au watu walioiweka? Suala la kuivuruga system ni kujidanganya kuwa kwa kuwepo madarakani unaweza kwenda kinyume na mapenzi ya watanzania alafu ukafanikiwa. New order, new country, new vision after 25th october
Ni ukweli usiopingika kuwa lowasa ameanza harakati za kuusaka urais muda mrefu pengine toka 1995.

Mwaka 2005 akimsindikiza kikwete lowassa alijiwekea mizizi au tuseme alitengeneza mtandao ambao ulimuingiza kikwete madarakani na kumfanya yeye kuwa waziri mkuu.

Baada ya kutemwa uwaziri mkuu system ya lowassa iliendelea kuwa madarakani kwa muda mfupi kabla ya JK kuanza kuivuruga na kuisambaratisha kabisa.

Mpaka tunafika 2015 JK alifanikiwa kabisa kuiondoa system ya lowassa serikalini.

Nadhani alifanya hivi kwa maandalizi ya kumkata katika kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya ccm pengine kwa maelekezo maalum

Chadema na Team lowassa wamedanganyika na kile kilichoitwa nguvu ya waziri mkuu bila kujua ilishafutiliwa mbali.

Wengi wa wakurugenzi na wakuu wa taasisi ambao waliwekwa na lowassa walishatemwa siku nyingi.

MaDC na MaRC loyal kwa lowassa walishatemwa siku nyingi.

Kwa hiyo ile nguvu ya mamba baharini haipo kwani bahari ilishakaushwa.

Kwa sasa lowassa amebakia na usanii tu kuaminisha watu kuwa ana mahusiano na system kumbe hamna kitu ni maigizo tu.

Hili laweza thibitishwa na kauli kinzani kutoka UKAWA...Mbowe anasema lindeni kura wakati lowassa alisema pigeni kura na kazi ya kuzilinda aachiwe.hizi ni sentensi mbili kinzani kutoka katika taasisi moja.

Vijana wanapaswa kutambua lowassa hana influence yoyote kwenye chama au serikali kwa sasa....makapi ya lowassa yako nje na yanajaribu kurudi ndani ili kuweka mirija ya kula hela zetu tu.

Im so disappointed with Chadema baada ya kuuvaa mkenge huu wa kihuni ambao unaenda kuirudisha nyuma miaka 20.

Wafikirie waliohamia Chadema au Ukawa na uhusiano wao na CCM au serikali in the past 5years ndio utanielewa.

Kwa sasa Chadema wajikite katika kampeni za ubunge zaidi ili kuokoa jahazi..operesheni ya siku nne...mission impossible!
 
Unapo jifanya huoni huku unaona nikama kuwa kuchaa,hivi unataka kujifanya hukuona dodoma ukumbi mzima ukiimba tunaimani na lowasa?swali lakujiuliza hao watu walio fanya hilo tendo wako ccm bado ama walitoka wote?unafikiri wamemsaliti lowasa?wako tu ccm kimaslai ila kura nikwa lowasa maana kura ni siri,sasa acha nikuelezee itakavyo kuwa,30% ya kura za lowasa ziko ccm na 24% nje ya ccm.
 
mleta uzi acha upuuzi na uongo usokua wa msingi..swala la linden kura si mbowe tu hata lowasa analisema sana..kauli hyo kaisema manyara na hata jana tunduma alisema!! acha kupotosha watu..half wabunge waloko hoi wa ukawa majimbon ni akina nan? sample yako umeichukua ktk majimbo mangap? mbona tuliko wengine huku ndo ccm wapumulia machine though hatuandik ujinga huo as hatujui kwa wengne?? stop that

Taja Jimbo moja tu ambalo Ukawa wana uhakika wa kuchukua...just one!
 
Hizo nguvu zoote na pesa nyingi mnazotumia kununua wasanii na kulipa wanamuzik kuwavuta watu kwenye kampeni,ni za nini.mngekaa basi msubiri kuapishwa.Kwanza wewe ni nani ikiwa tu mwenyekit wenu alishasema uchaguzi wa mwaka huu siyolelemama kama wenye akili mgando km wewe mnavyotaka kujiaminisha.SWINE!!!

Kuna uchaguzi ccm haijatumia sanaa kwenye mikutano yake?

Unaijua TOT?
 
Unapo jifanya huoni huku unaona nikama kuwa kuchaa,hivi unataka kujifanya hukuona dodoma ukumbi mzima ukiimba tunaimani na lowasa?swali lakujiuliza hao watu walio fanya hilo tendo wako ccm bado ama walitoka wote?unafikiri wamemsaliti lowasa?wako tu ccm kimaslai ila kura nikwa lowasa maana kura ni siri,sasa acha nikuelezee itakavyo kuwa,30% ya kura za lowasa ziko ccm na 24% nje ya ccm.

Kama hivi ndivyo huu mhemko wote wakusema mnaitoa CCM ni ipi hiyo mnayotaka kuitoa kama % kubwa ya wafuasi wa mkombozi wenu wapo huko?

Duuh kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake..... Mmemchekea nyani mtavuna mabua!
 
Madc na wakuu wa wilaya ndio kina Nani?
Jaji mkuu kasemaje Leo? kulinda kura n haki ya kisheria, katofautiana na jk na mwanasheria mkuu.
Lowassa from the beginning alisema kuwa tumpigia kura nyingi hata wakiiba ishindikana, sasa hz story zako eti Lowassa alisema tusilinde kura umetoa wap?
Hiv kati ya kikwete na Lowassa ni nan anayejiamin zaid? mbona kikwete hayuko kwenye kampen lkn kila nkimuona macho yamevimba kama mtu ambaye halali? Anaenda kuomba kura had kwa wabunge wa Kenya?
Ccm wajaribu kuiba kura ndipo utaelewa nguvu ya Lowassa ipo wap.

Labda Nguvu za giza na sio za kimfumo kama wengi walivyoaminishwa...Swali la Dr Slaa kwa Mbowe lilikosa majibu kwamba lowassa anakuja na kina nani????

Kumbe nguvu aliokuwa anaiongelea ni makapi waliochokwa na CCM.
 
Huyu ni mpuuzi na uzi wake, anatuletea mawazo yao finyu ya lumumba anadhani na upande huu tunawaza kama wao!
Huku nguvu ipo kwa wananchi ,haijalishi wewe upo wapi, ulikuwa wapi ama unajuana na nani! Kila sekunde tunasema peoples power halafu anatokea bwe*ge anaandiku upumba*mfu kama huyu na nyie makamanda mnakubali kulegea, na kubakia eti"hata ingekuwa kweli bado tutamchagua"!
Ana ukweli gani lofa na mfuasi wa mafisi -ahadi huyu?
Sie tumeshaeleza huku nafasi ya umungu mtu hakuna yeye anatutajia vigezo vya umungu mtu, nani kakwambia wana Ukawa tunategemea hiyo? Hapa ni mahala pa kuleta mabadiliko ikiwemo kubadili pia fikira finyu za wajinga wa lumumba kama wewe!
 
Mbowe na lissu na Safari wameingizwa choo kibovu itakuwa wewe kajambanani?
 
Unapo jifanya huoni huku unaona nikama kuwa kuchaa,hivi unataka kujifanya hukuona dodoma ukumbi mzima ukiimba tunaimani na lowasa?swali lakujiuliza hao watu walio fanya hilo tendo wako ccm bado ama walitoka wote?unafikiri wamemsaliti lowasa?wako tu ccm kimaslai ila kura nikwa lowasa maana kura ni siri,sasa acha nikuelezee itakavyo kuwa,30% ya kura za lowasa ziko ccm na 24% nje ya ccm.

Hebu tulizeni akili mashabiki wa Lowassa na Ukawa!
Ukumbi huko Dodoma waliomwimbia Lowassa eti wana imani nae walikuwa wanaongozwa na Msukuma wa Geita ambaye leo anamtukana Mgombea wenu na kusema kajinyea. Wengine ni Chegeni, Serukamba, Bashe, Nkumba nk Hawa wote hawajahama na wapo bize wanampigia kampeni Magufuli na CCM na wengine wanamtukana Lowassa
Hivi kweli mna upeo mdogo wa kuelewa au mmejivua ufahamu?
 
Kama hivi ndivyo huu mhemko wote wakusema mnaitoa CCM ni ipi hiyo mnayotaka kuitoa kama % kubwa ya wafuasi wa mkombozi wenu wapo huko?

Duuh kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake..... Mmemchekea nyani mtavuna mabua!

Eti leo wanachama wa Chadema wanaandaa party kumsubiri Chenge ahamie ili waing'oe CCM madarakani?!
Ludicrous! Kuna serious IQ issues hapa naona!
 
Lawrance Masha alishatemwa kitambo!

Sumaye hakuwa na ubavu kwa merry Nagu

Kingunge aliwekwa pembeni!

Anayeitetea ccm ana maslahi nayo hivi hivi sio bure, ccm ilivyotubemenda hivi, sipati picha hayo matukio yaliyotokea hasa kipindi cha miala 10, tumeonewa sana, kiuchumi na kijamii, tumeonewa sana kwa nyanja hizo, leo hii unasema ccm ndio itatupa mabadiliko, yepi, pigeni bao la mkono, muingie ikulu muwe na viburi kama kuliko mlivyokuwa navyo, nashangaa inavyojitangaza kama imezaliwa jana, bado kodi zetu ndo mnazotumia kwa kampeni, nna uchungu kishenzi naweza nikajifungua ghafla kabla ya muda, na mnavyoonyesha kiburi bado mnatukana ndio maadili gani
 
Hawa lumumba bwana,mziki wa lowasa hauchezeki,hayo magari 777 mlowapa polisi walinde maslahi yenu badala ya kuwaongezea mshahara,haitawasaidia,hii ni wiki yenu ya mwisho kutamba,lowasa nguvu yake wapigakura,nyie goli la mkono

Hii ya magari 777 niliwahi msikia nassari akiisema bungeni nikapuuza, kumbe kweli du!, akina mama wanajifungulia sakafuni hatuna dawa wala vitanda mahospitalini na bado mnanunua magari ya kutesa wananchi kama mlivyofanya operation tokomeza,
 
Tafuta ligi ndogo ukawa sio saizi yako
 
Amka kumekucha Kuntakint: jina hilo kubwa kwenye tamthilia za cinema akiwakilisha wamarekani weusi walipochukuliwa utumwa. Ni vizuri ukalitendea haki hilo jina!

Nguvu ya Lowasa iko kwa vijana aliohama nao CCM alipokatwa. Ni hao waliofanya fujo na vurugu Dodoma wakati NEC ya CCM ilipokutana kuteua mgombea wao kwa Urais. Ndio hao tunawaona kwenye mikutano yake ya kampeni, wamelewa na kupiga deki barabara, kama wendawazimu (angalia kwa makini aina ya watu wanaohudhuria kampeni zake na vitendo wanavyovifanya),

Nguvu ya Lowasa iko kwa wana CCM, katika ngazi za uongozi, ambao wana hofu ya ujio wa Magufuli, kwa sababu kubwa ya ufisadi na uzembe kazini.

TAFAKARI CHUKUA HATUA

Hivi kwa mtazamo wako unahisi kabisa nec walikaa wakatafakari hayo majina, hata siku 1, msikilize kingunge viiiizuri alivyosema, mtu kaja na majina yake mfukoni,
 
Last edited by a moderator:
nimepoteza muda kusoma hapa,,Lowasa atapita kwa uhalali kwa nguvu ya umma kwa imeamua mabadiliko wala si kwa ujanja ujanja
 
Back
Top Bottom