Baada ya ujanja ujanja wote wa no-fly zone, humanitarian corridor, na covert missions za US-NATO kugonga ukuta...Mc Cain amejitokeza na kusema hakuna umuhimu wa UN mandate.
Jisomee hapa Sen. McCain calls for airstrikes against Syria - The Hill's DEFCON Hill
Vita ya Iraq pia hawakupitia UN? Wanaidharau UN pale wanapopata pingamizi na wanaitumia UN pale wanapoweza kuwatia mfukoni wajumbe wa baraza la Usalama. Kesi ya Syria imeangukia kuwa Russia na China wana maslahi yao huko Syria na walijifunza somo la Libya.RedBold: @ Nonda: Mkuu kwa kauli hii je, uoni kuwa utabiri wangu (Post #105 ya uzi huu) wa Marekani na West kudharau matumizi ya VETO katika vikao vya UN unatimia? Mkuu hapo washalizua tayari.
Mc Cain naona ana loby kwa nguvu zake zote kuhusiana na airstrike, anasema "You'll find a thousand reasons not to do the right thing"Sen. McCain calls for airstrikes against Syria - The Hill's DEFCON Hill
"The ultimate goal of air strikes should be to establish and defend safe havens in Syria, especially in the north, in which opposition forces can organize and plan their political and military activities against Assad,"McCain said.
Mc Cain naona ana loby kwa nguvu zake zote kuhusiana na airstrike, anasema "You'll find a thousand reasons not to do the right thing"
Mpaka sasa wamekufa raia 7,500.