Syria inafuatia baada ya Libya

Syria inafuatia baada ya Libya

Ajabu ya mambo yalivyo Syria ni kuwa kile kinachofanywa na wananchi kupinga ubeberu na kuunga mkono serikali yao hugeuzwa ni maandamano ya kudai demokrasia.Vyombo vya habari vya kimataifa kama Aljazeera,bbc na Cnn vinavunja hadhi ya kazi ya uandishi wa habari.
 
Nimemuona Wadi Haddad.Jambazi hivi hivi asiyeshindwa kutenda lolote kwa amri ya Shetani.
Mimi narudi pale pale .Hebu jamani tutumie akili zetu kuwaza na kuwazua na sio.................
Ni raisi gani mwenye unyama kiasi hicho kiasi kwamba dunia inapiga kelele dhidi yake mpaka imeleta wachunguzi miongoni mwa majirani zake.Bado mtu huyo anaweka snipers juu ya mapaa watu wakitoka anaua!.
Bashar hajaonesha unyama wa aina huyo na hata Hitler asingeweza kufanya hivyo.Wenye moyo wa aina hiyo ni majambazi sugu na wala unga wanaotolewa magerezani akina Wadi Haddad.Nia ya wenye kuwafadhili Wadi na makamanda wao ambao hata Waddi huwa hawawajui ni kuleta New World order na utawala wa kifreemasons.Bashar kwa kuwaunga mkono HizbuLlaah ambao waliwapiga vizuri mazayuni katika vita vya 2006 atakuwa ni moja ya lengo kuu la vita vya hawa waharibifu wa dunia.
Binadamu wa kawaida ni juu yetu kutumia akili na kuwacha kuunga mkono matendo ya kishetani.Kwa bahati nzuri miaka hii na baadhi ya masuala hayahitaji nyenzo kubwa kujua ukweli.Akili tu inatosha.
 
The ruler of the Gulf state of Qatar has said Arab countries should send troops into Syria to stop government forces killing civilians there.

Sheikh Hamad bin Khalifa Al Thani told US television channel CBS "some troops should go to stop the killing".

It is the first time an Arab leader has publicly called for military intervention in Syria.

Zaidi BBC News - Syria crisis: Qatar calls for Arabs to send in troops
 
Jameni! mbona hatuono jamii za waarabu wakilia kuhusu vile hali ilivyo Syria, kwa sababu naona watu kama elfu tano wamefariki tangu majeshi ya serikali waanze kuwaangamiza wananchi. Je! hii inaonyesha jinsi jamii ya kiarabu imeunganika pamoja hata wasiweze kukemea uovu unaotendendeka miongoni mwao. ajabu!!
 
Unaangalia BBC, CNN, Al JAZEERAH news pekee ?

Kama ulifuatilia vita ya Libya, ni uongo tu unatumika kujenga kesi ya vita.

[video]http://www.youtube.com/user/WolkenZwemmer#p/a/f/1/cneJWtoQI2M[/video]

Thierry in Syria - Not Going the Way Israel and NATO Wanted - YouTube

Tembelea The plan to destabilize Syria [Voltaire Network]

Lies and truths about Syria [Voltaire Network]
 
The ruler of the Gulf state of Qatar has said Arab countries should send troops into Syria to stop government forces killing civilians there.

Sheikh Hamad bin Khalifa Al Thani told US television channel CBS "some troops should go to stop the killing".

It is the first time an Arab leader has publicly called for military intervention in Syria.

Zaidi BBC News - Syria crisis: Qatar calls for Arabs to send in troops

Itawezekana? maana Russia imesema atakaye tia mguu wa kijeshi Syria anakula naye sahani moja
 
Unaangalia BBC, CNN, Al JAZEERAH news pekee ?

Kama ulifuatilia vita ya Libya, ni uongo tu unatumika kujenga kesi ya vita.

[video]http://www.youtube.com/user/WolkenZwemmer#p/a/f/1/cneJWtoQI2M[/video]

Thierry in Syria - Not Going the Way Israel and NATO Wanted - YouTube

Tembelea The plan to destabilize Syria [Voltaire Network]

Lies and truths about Syria [Voltaire Network]

@Nonda, I hope you are not putting here people who have fallen out of their respective countries and governments as reference to champion the cause for despotic "Islamic" regimes. Especially for Syria and president Assad, the events are worse than the Saddam and the Iraqi case. scenario
 
Russia's deputy foreign minister says his country "cannot support" a draft United Nations Security Council resolution on Syria.

The resolution, drafted by European and Arab countries, endorses an Arab League plan for Syria.

That league's plan calls on Mr Assad to hand over power to a deputy to oversee a political transition.

The watered-down UN text drops explicit calls for the president to step aside, which were included in an earlier draft.

BBC News - Russia 'cannot support' UN Syria draft resolution
 
Nonda, I hope you are not putting here people who have fallen out of their respective countries and governments as reference to champion the cause for despotic "Islamic" regimes. Especially for Syria and president Assad, the events are worse than the Saddam and the Iraqi case. scenario
"Islamic" regimes????

Do not buy that crap...do more research, my dear brother.

Last edited by a moderator:
@Nonda, I hope you are not putting here people who have fallen out of their respective countries and governments as reference to champion the cause for despotic "Islamic" regimes. Especially for Syria and president Assad, the events are worse than the Saddam and the Iraqi case. scenario
Mzalendo452

Who has put this fear of "muslims, islam, islamic" in you?
There is a more important thing to fear; the lack of information and perspective.
There is a project of mind control and those who have this project hide the real info, they manipulate us using all sort of tricks.

A muslim in Mombasa and christian Luya in Eldoret have the same need, yet the Kenyan Gvt is manipulated to war in Somalia.

My point is that do not buy the sticker of war on terror, it is tool to expand the US- western dorminance and recolonisation.
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Ile propaganda ya Western Media inakwenda kama ile movie ya Libya ilivyotengenezwa.

Foreign Minister Sergei Lavrov said on Saturday the current draft included measures against President Bashar al-Assad's government, but not against armed opposition groups.

He said Moscow had tabled amendments to the text to try and ensure the UN would not appear to be taking sides in a civil war.

Activists say a massacre has occurred but the government denied attacking, accusing the opposition of propaganda.

Zaidi hapa BBC News - Syria Assad: Army massacres 'hundreds' in city of Homs
 
Russia and China veto resolution on Syria at UN
An Arab and Western-backed resolution condemning the violent crackdown in Syria has been vetoed at the UN Security Council by Russia and China.

They rejected the draft as "unbalanced" hours after activists accused troops of killing at least 55 people at Homs.

Western countries said the move would encourage Syria's government to continue its violent clampdown.

BBC News - Russia and China veto resolution on Syria at UN
 
Back
Top Bottom