Syria inafuatia baada ya Libya

Syria inafuatia baada ya Libya

The way i see it ,Asad's fate is sealed.it is just a matter of time...Russian and china wont help him.they dont have guts to do it.
Iran can help him for now,but iran is on the target list.They must concetrate on their own security.
I guess, what Iran is doing in Syria can be the part of her security strategy.
 
French President Francois Hollande has said that there is no political solution for the unrest in Syria unless President Bashar al-Assad leaves power.


In a meeting with new UN envoy to Syria Lakhdar Brahimi on Monday, Hollande said there "cannot be a political solution without the departure of Assad."

Zaidi hapa PressTV - France says Syrian president should leave power
 
US President Barack Obama has said the use of chemical weapons by Syria would be a "red line" that would change his thinking on intervention in the crisis.

He said he had "at this point not ordered military engagement".

But he added: "There would be enormous consequences if we start seeing movement on the chemical weapons front or the use of chemical weapons."

Earlier the new UN special envoy to Syria faced criticism for refusing to say whether President Assad must quit.

zaidi hapa BBC News - Obama warns Syria chemical weapons use may spark US action
 
Nadhani Obama anatafuta pa kuchomokea kwenye uchaguzi unaokuja.
 
Nadhani Obama anatafuta pa kuchomokea kwenye uchaguzi unaokuja.

wananchi wa marekani wamechoka na vita za nje hizi...wanachoangalia ni uchumi na haswa mambo ya ajira. kwa hiyo kwa hili Obama hapati chochote cha maana katika kuongeza kura au kuonekana ni amiri jeshi au mlinzi wa uhuru na usalama madhibuti wa marekani. Uchaguzi wa Nov ni kuhusu uchumi basi aipige syria au iran haimsadii kisiasa sana sana inaweza kuwafanya hata wale leftists kutompigia kura na viya nyingine.
 
Marekani, America or USA Whatever!. HANA RAFIKI WALA ADUI WA KUDUMU cha muhimu ni MASLAI TU.
 
kama Assad akitumia silaha za kemikali dhidi ya raia wake wasio na hatia basi marekani itamtoa madarakani kwa nguvu za kijeshi............................

SOURCE: AL-JAZEERA TV.

Yaani siupendi ubabe wa Marekani kabisa.....
 
kama Assad akitumia silaha za kemikali dhidi ya raia wake wasio na hatia basi marekani itamtoa madarakani kwa nguvu za kijeshi............................

SOURCE: AL-JAZEERA TV.

mi nasubiri hawa ICC sijui wanasubiri nini kumshitaki huyu jamaa ametesa sana wananchi wake huu mwaka na nusu akitumia jeshi na excuse ya kupigana na magaidi. Sijui kama hawa mabwana wa ICC wanafuata sheria kweli au siasa...
 
Liwalo na liwe! Kama Syria wangekuwa na mafuta au madini muhimu kwa Marekani, wasingembembeleza hadi leo.
 
Alaah kwa hiyo marekani wataingilia kama wakitumia chemical weapons...kwa hiyo sasa hivi wanavyotumia bunduki na mabomu kuwaua wananchi wao waamerika wanaona hiyo ni sawa sio....obama kama domestic problems zake zimemshinda bora akae kimya tuu

Ndio maana ninammiss George Bush...Yule jamaa alikua acheleweshi angekua ni yeye Rais ungekuta assad ashatolewa haogopi kufanya maamuzi
 
Hata mie nilikuwa kama wewe ila baada ya kuona bajeti yao ya JESHI inavyotisha, ndiyo nikaelewa maana ya kuwa Big Brother wa dunia. Bila wale jamaa, hawa Waarabu wangelikuja na kutulazimisha kuwa Watumwa tena au hata kutusilimisha kwa nguvu na kututaka tuwe Waislaam wote.

Ndipo nilipoamini kuwa ukweli siku zote upo katikati.
Yaani siupendi ubabe wa Marekani kabisa.....
 
kama Assad akitumia silaha za kemikali dhidi ya raia wake wasio na hatia basi marekani itamtoa madarakani kwa nguvu za kijeshi............................

SOURCE: AL-JAZEERA TV.

Kwanza AL-ASAAD DINI yao Alawaites - Minority na Majority ya Wananchi wa Syria ni SUNNI; But what is

surprising and weared the Alawaites are hardly Muslims at all... the way they acts.. so even though the

christians are running they are kinda protected by the Alawaites...
 
kama Assad akitumia silaha za kemikali dhidi ya raia wake wasio na hatia basi marekani itamtoa madarakani kwa nguvu za kijeshi............................

SOURCE: AL-JAZEERA TV.

Siamini kama atatumia silaha za kemikali kwani deadly destructive na uwezekano wa kuua untargeted people ni mkubwa mno, so mara nyingi ni za kutishia tu
 
Alitakiwa awe ameondolewa siku nyingi sana sababu hata mauaji yanayofanyika sasa hayakubariki aisee.
 
Back
Top Bottom