Swts im interested

Swts im interested

Hivi unashindwaje kumtumia mtu PM badala ya kuja kuanikana hapa??
 
Najua umelala huku kinanii kinawasha kujua nini kimeendelea!

Teh!... Ts a joke pipi! Goodnite this morning!

Em nilale hapa kishumundu kwetu ni saa nne usiku..nitarudi kesho! naona mapendo mapendo mwaka mpya sasa..

Nyt nyt people... see u when u see mee.
 
Em nilale hapa kishumundu kwetu ni saa nne usiku..nitarudi kesho! naona mapendo mapendo mwaka mpya sasa..

Nyt nyt people... see u when u see mee.

Dah haya bana
 
Huyu memba anaitwa swts nimetokea gafla kumzikia popote alipo mwambieni nampenda

Mkuu Swts na HUNIJUI ni wanandoa watarajiwa, so try to maintain descpline plz. Usione vyaelea mkuu maana hapa tayari umenipa presha na tension isiyo ya lazima. Ukiona kichaka tu tayari??? Tujiheshimu jamani
 
Last edited by a moderator:
Em nilale hapa kishumundu kwetu ni saa nne usiku..nitarudi kesho! naona mapendo mapendo mwaka mpya sasa..

Nyt nyt people... see u when u see mee.

Nafikiria ubadilishe ID au nikupige marufuku JF maana watu kama hawa wanaweza kuharibu ndoa yetu tarajiwa. pliz try to escape kwa watu kama hawa.
 
leo ni siku ya kutongozana duniani.
 
Nafikiria ubadilishe ID au nikupige marufuku JF maana watu kama hawa wanaweza kuharibu ndoa yetu tarajiwa. pliz try to escape kwa watu kama hawa.

Wewe nn bana mtu hujafunga ndoa unapiga kelele aje hapa athibitishe kuwa ww ni wake mi nimesema yangu ya moyoni
 
Kuchora!!?? Kuchora kitu gani, unaweza ukachora na bado usione ndani.
 
apa patam sana!!!
mtoa mada komaa mpaka mtoto wa kike atoe jibu
husikubali maneno ya jamaa hapa!!
 
mt zed naheshimu hisia zako ila..mkuu yani hata sijakulia hata kumi unaleta na ng'ombe tayari kuchukua mzigo...mbona hatari!
siku hizi atlist ukwamnguliwe kidogo ili kisipoeleweka atlist fair play!!
speed kali hii zaid ya Michael Schumacher! em nikae pembeni maana hadi nimeogopa!
 
Mtahadharishe pia aje kwa step maana anaweza akajikuta anauza hadi nyumba ya Urithi af bado anaambulia patupu
 
Back
Top Bottom