Em nilale hapa kishumundu kwetu ni saa nne usiku..nitarudi kesho! naona mapendo mapendo mwaka mpya sasa..
Nyt nyt people... see u when u see mee.
typing error jaman nadhani mmenielewa namaanisha nampenda
Em nilale hapa kishumundu kwetu ni saa nne usiku..nitarudi kesho! naona mapendo mapendo mwaka mpya sasa..
Nyt nyt people... see u when u see mee.
Nafikiria ubadilishe ID au nikupige marufuku JF maana watu kama hawa wanaweza kuharibu ndoa yetu tarajiwa. pliz try to escape kwa watu kama hawa.
Wewe nn bana mtu hujafunga ndoa unapiga kelele aje hapa athibitishe kuwa ww ni wake mi nimesema yangu ya moyoni
Asante kwa mapendo mydear... jambo muhimu sana hili kwa afya ya kila binadamuHuyu memba anaitwa swts nimetokea gafla kumzikia popote alipo mwambieni nampenda
umeona ehhh... tena january asubuhii
indeed...maandamano nchi nzima kama hujatongoza ama tongozwa..lolleo ni siku ya kutongozana duniani.
mt zed naheshimu hisia zako ila..mkuu yani hata sijakulia hata kumi unaleta na ng'ombe tayari kuchukua mzigo...mbona hatari!
siku hizi atlist ukwamnguliwe kidogo ili kisipoeleweka atlist fair play!!
speed kali hii zaid ya Michael Schumacher! em nikae pembeni maana hadi nimeogopa!