Swity nimenunua cha kuwekea maua

Swity nimenunua cha kuwekea maua

Hofu yangu ni akienda kuyanyofoa hayo maua huenda yasitoke peke yake.
 
Akijaribu kukojelea atapolitoa UA itakuwaje?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Humu ndani kuna watu jamani! Mnatoa wapi picha hizi! Nimecheka sana
 
Kama mume ni mjanja atagutuka mbona mke anawahi kujitetea, kwani ni households ngapi amenunua akanitaarifu mimi mumewe nikiwa mlangoni!
 
Back
Top Bottom