Ulaya watu wanazijua haki zao.
usitarajie jamaa kuuawa au kufungwa kirejareja
Naskia jamaa (Julian) hahongeki.
Hiyo ndo inasubiriwa na kila mtuLabda asiguse Mafia hasa Russian mafia
Hiyo ndo inasubiriwa na kila mtu
Iraq war documents...sijaona taarifa yoyote aliyotoa yenye madhara makubwa kwa CIA au umeona kitu kama hicho.
Labda asiguse Mafia hasa Russian mafia
I repeat again...WEAK LEAKS is CIA at works to re-shape the world....so dont expect anythings to happen to Assange.
Lets wait hope in this saga he will start with African crock leaders
presha inapanda presha inashuka, assange ahh aminia tupe utamu baba tujue. Maana kuna viongozi wetu nasikia wanapay mbaya. Thibitisha tuandamane kama tunisia.
Focus to the topic.r u high rank KGB, MOSAD or MI6 officer so that we can belive in what u ve writen ?
Tutashangaa tutakapoona akina j na nonino na marafiki zao hapa bongo nao wamo kwenye orodha. Siri ya umasikini wetu itajulikana.
I repeat again...WEAK LEAKS is CIA at works to re-shape the world....so dont expect anythings to happen to Assange.
Lets wait hope in this saga he will start with African crock leaders
Halafu siku moja baadae utasikia CCM wamefanya maandamano kuipinga Wikileaks
r u high rank KGB, MOSAD or MI6 officer so that we can belive in what u ve writen ?