Swiss Banker Spills Secrets to WikiLeaks

Tunahitaji akina Rudolf Elmer na akina Julian Assange wa Tanzania, yes watapata misukosuko lakini mwisho wa siku kazi yao itatukuzwa na vizazi vijavyo kama kazi ya kujitolea sawa sawa na ujasiri waliounyesha akina Nyerere, Mandela, n.k

Tuko nyuma yenu wote mnaoguswa na ufisadi wa wanasiasa na kujitolea kukomesha uhalifu huu kwa kutoa taarifa hadharani, Mungu aibariki kazi yenu
 
Back
Top Bottom