Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Haha inabidi tujikusanye tukafanye jaribio na sisi. Happy new year shempalAisee niliona picha ya swimming pool moja ya China, yaani ilikuwa imefurika hakuna hata pa kusogeza mkono! Sasa swiiming pool kama hiyo unaogeleaji kweli!? Nilishangaa sana.
Haha inabidi tujikusanye tukafanye jaribio na sisi. Happy new year shempal
Likewise galpal, umetuandalia nini kitamu?
Duuh hatari mnoooo. Nimewaza hapo eti mikojo ya watu elfu 6 ikupitie tu mdomoni au puani
Teh yupo anachoma ngurukaPilau tu dear, hakuna la ziada. Bi mkubwa yuko wapi, au ndo mwaka mpya.!
Hahah, kha!
Duuh hatari mnoooo. Nimewaza hapo eti mikojo ya watu elfu 6 ikupitie tu mdomoni au puani
Umeona eeh! Yaani inahitaji moyo kutia mguu humo. Cha kustaajabisha wanaona imejaa lakini bado wanaingizana tu!
Weeee bila nguruka menu haiendi kabisaaaaatoto nae kwa Nguruka. Kila sherehe lazima achome, utafikiri kaambiwa wasipokula hiyo hawashibi. 🙂
Weeee bila nguruka menu haiendi kabisaaaa
Kalimao na kapilipiliTeh!, vikolombwezo kibao.
Bhatubhingiliile abhaana abha.Mambo ya kitoto ya facebook mnatuletea hapa!Kila kitu kibaya ni Mbeya nowdays
Amen,sameness.Kweli kabsa.
Mwaka ndo huu umefika, tunaomba tarehe.
Happy New Year wapendwa!
Wishing you all the best, and none of the worst.
Vaeni tu miwani msione gere
Aisee kwa hiyo avatar yako, I just feel like going back to school teh. Education is sexy
Uuuuuh can't waitItabidi miwani asee...(missed this earlier)
Edc. Is sexy uongo mbaya. More power to us.
Na tunavyopenda minuso tuanze kuandaa grad parties mapema. 🙂