Hahahaa naona umejaa upepo potihuyo Mtoa mada ni fala
Utani gani sasa huo, alafu nimegundua mtoa post alitaka kuja mbeya ila akakosa nauli kwahiyo anabashiri maana Picha alotuma ni ya kufirikaHahahaa naona umejaa upepo poti
Relax huu ni utani kama utani mwingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] DadekHahahaa naona umejaa upepo poti
Relax huu ni utani kama utani mwingine
Eeeeehh atukome sana tu Khangiiii eeehhh nga nubhujowi mweeeh!!!Utukome ....
Bwana mdogo kabla hujapost chochote jaribu kufanya tathmni ili usionekane mjinga.
Kama wanawatania jua mnafanya vyemaNaona wamechoka na Wasukuma. Kama ni utani sisi Wasukuma tumetaniwa sana. Relax mkuu. Ni vizuri sometimes kucheka na hata kujicheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]