@SweetLady kidogo avunje Ndoa yangu

Ha ha haaaaaa.......
Nimecheka sana......
Shida yote yanini....?
Kwanini usimwambie ukweli yakaisha?
Si unajua the truth will always be revealed?
Sema nae ukweli utakuweka huru......
Erickb52 hilo jina la profesa nimelipenda linanipa heshima
Lakini hunitendei haki kabisa, embu badilisha, ama sivyo nampigia kujitambulisha.
 
Ha ha haaaaaa.......
Nimecheka sana......
Shida yote yanini....?
Kwanini usimwambie ukweli yakaisha?
Si unajua the truth will always be revealed?
Sema nae ukweli utakuweka huru......
Erickb52 hilo jina la profesa nimelipenda linanipa heshima
Lakini hunitendei haki kabisa, embu badilisha, ama sivyo nampigia kujitambulisha.

Hahahaa Remmy kubali tu kuwa Prof ni heshima kubwa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa yani kuna kazi na nyinyi huwa hamuelewi mapema....!
Ila nimeamua kwenda town kumchagulia kakitu kazuriiiii kamkumpoza sasa sijui nimchukulie nini kitakachomtoa tabasamu...
Hebu nishauri BADILI TABIA

Mwambie aache ushamba......muwe mnaingia wote basi jf ajionee mambo.
 
Hahahahaaaaa CUTE umeua lol
Huyo uncle wako ni noma na alijua hilo ndio maana akataka kulikwepa
Dah nimecheka ingawa inasikitisha Lol
kwahiyo b52 mi CACICO sasa nimekuwa CUTE????Eeeee ngoja SI apite huku uone kimavi chake?? wewe inaonyesha hata kwenye game ukinogewa, huchelewi kumtaja CUTE badala ya mkeo! hovyooooooo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom