@SweetLady kidogo avunje Ndoa yangu

@SweetLady kidogo avunje Ndoa yangu

Hahahahaaaa Bishanga babu wapi aisee huyo ndio kijogoo mwenyewe ukimuita babu anakumaliza na ukijifanya unamsalimia eti Shikamoo Mzee Bishanga utasikia Asanteee badala ya Marahaba Lol
Kifupi ndio Fataki Msaidizi wa Asprin
Wanajifanya wanalea wajukuu lol hakuna kitu
nashukuru kwa kunielewesha erickb52, sasa babu ni nani?, DC peke yake?? DC ye halei wajukuu??
 
nashukuru kwa kunielewesha erickb52, sasa babu ni nani?, DC peke yake?? DC ye halei wajukuu??
Hahahaaa hata Asprin ni babu na analea vema sana wajukuu wake ila Bishanga hayuko kwenye ubabu lol
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
me mzima sana b52, ucjali fanya kaz kwa bidii mwisho wa mwezi huu ntakupandisha cheo!
Dah ukinipa special duties ntafurahi sana lol
Ntafanya kazi kwa bidii hadi utashangaa aisee
 
nakwambia MUNGU akiamua kukueleleza mtu unaumbuka vibaya sana! uncle wangu alipata accident pale mbuyuni kunduchi akiwa na hawara yake, eti ametokea workshop bahari beach. watu walivyokuja kuwasaidia, ye anasisitiza tu wapelekwe hospitali tofauti, watu wakawapeleka hospitali moja. kesho yake sasa mkewe kaamkia hospital, anaambiwa na doctor, yule baba kidogo ana afadhali, ila mkewe kwa kweli hali c nzuri! mke wake alitaka na kumsusa kabisa! yaani huu uongo huu, haya mambo yapo!

Hahahahahahaha.........hii inaitwa za mwizi 40 lol.....aliumbukaje huyo mbaba?
 
nakwambia MUNGU akiamua kukueleleza mtu unaumbuka vibaya sana! uncle wangu alipata accident pale mbuyuni kunduchi akiwa na hawara yake, eti ametokea workshop bahari beach. watu walivyokuja kuwasaidia, ye anasisitiza tu wapelekwe hospitali tofauti, watu wakawapeleka hospitali moja. kesho yake sasa mkewe kaamkia hospital, anaambiwa na doctor, yule baba kidogo ana afadhali, ila mkewe kwa kweli hali c nzuri! mke wake alitaka na kumsusa kabisa! yaani huu uongo huu, haya mambo yapo!
Hahahahaaaaa CUTE umeua lol
Huyo uncle wako ni noma na alijua hilo ndio maana akataka kulikwepa
Dah nimecheka ingawa inasikitisha Lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa na hili libaridi ntakomaje aisee
Nionee huruma basi..Akigoma nakuja huko lol

hakikisha chupa yachai ina maji ya kutosha, utakuwa unakunywa chai tu.... Utakomajw na kipupwe cha huko miezi hii....
 
Back
Top Bottom