@SweetLady kidogo avunje Ndoa yangu

@SweetLady kidogo avunje Ndoa yangu

Mh nawewe mwanamke una maneno utadhani unakaa Unga LTD Lol
Dawa yako jumamosi pale Makaburini

Hahahahaha.......hivi kumbe wa Ungaltd wana maneno eeh lol......mie nakaa ngarenaro kubwa kuliko arusha tehe.
 
Usicheke, majina haya lazima ujipange



Mmme hawezi kuwaza kumbip muuza mashada lol



Hata hivyo, bishanga kafanana na kuuza mashada tu



Kulikuwa na msiba kazini nikapewa kazi ya kutafuta mashada



Ukiamua kupinda, usijivunge
Pinda 'Heregeni'



Ricky, nime hela basi



He he he he, akianza kuniuliza hayo tu, navua nguo lol



Asprin kajazia kifua, anaendana na kazi hiyo

Hahahahahahahahaha!!!!!!!!!!!! Kongosho majibu yako yamejitosheleza sina suali ila ntakutafuta unipe tuishieni lol......nimecheka sana........we mkare asee daaah!
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa ni mida ya Jioni nikiwa home,simu yangu ikiwa kwenye charge ikawa inaita na kwa kuwa bibie alikuwa karibu akaamua kuifuata akaichukua ili aniletee lol
Kucheck jina la anayepiga ni SweetLady akabadilika ghafla kumbe nina Sweetie mwingine..nimejieleza ila ngumu kumeza!
Baada ya hapo nikaamua kubadili majina ya wana JF nilionao kama ifuatavyo:
.. sweetlady -Fundi Cherehani ingawa sishonagi sijui ntakamatwa tena lol
.. Amyner -Bado natafakari nitamsave vipi nikipata jina ntawaambia
.. beibe nasty -Shem Mapepe
.. charminglady - Boss wangu,
.. FirstLady1 - Private Number
.. Cantalisia - Afande Canta,
.. Kipipi - Battery Low,
.. BADILI TABIA -Sijabadili Jina lake coz si mbaya sana
.. Kongosho -Muuza Bucha,
.. Preta - Promota,
.. cacico -Mzee Cacico,
.. YNNAH -Bibi Afya,
. Remmy -Prof UDSM
Kwa wanaume sijabadili coz hawana madhara sana
Wenye majina hayo naomba mnisamehe ni katika kulinda ndoa yangu siunajua
Hahahha hahha hahha hahha,
Pole shemeji,
Asa uafande huu wa mgambo wa jiji,sungu sungu au km kina afande mwita lol!
 
Babu Asprin kwa kweli kuniita meneja wa mata.ko bar ni ujiko mkubwa ww nimekusave kwa jina la Babu Ngariba.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom