@SweetLady kidogo avunje Ndoa yangu

uwiiiiiiii erickb52 hii tena issue! lolest ila nimependa mzee cacico ipo pouwa! sitakaa nishtukiwe, maana na sisi huwa tunapanic mbaya! ila kajisemea preta wallah MUNGU anaona haya yote, kha!
Hahahahaaaaa Preta amenifurahisha sana Lol
Ila afadhali usichukie maana ukweli ndoa muhimu Lol
Hahahaaa cacico eti Mzee Cacico Lol
Raha sana yan umekuwa mbabu
 
Last edited by a moderator:
weweweeeee fundi cherehani anaseviwa kama sweet? Atajua small house tu.... Mbaya zaidi akirelate na wimbo wz sweetlady wa tyrese, lazima Erickb52 anyimwe unyumba wiki nzima
Teh Teh Lol
Ila mjue nikihamishwa home nakuja kuwa mlinzi huko ila mlinzi atakuwa analala chumbani kwa bosi wake Lol
 
kidumu changu nimekimsave nabii tito, mie kila siku naaga nakwenda ibada! Young_Master hashtukii wala nini!!!
Teh Teh siku moja ukiiumwa anachukua simu the anampigia huyo nabii aje kukuombea na hapo ndio mambo yatakapoibuka na kuwa noma
 
sasa hivi nitakuwa natoa mawaidha kama ya mtambuzi au asprin, hivi bishanga naye ni babu?? nataka niwajue kabisa wazee wenzangu!
Hahahahaaaa Bishanga babu wapi aisee huyo ndio kijogoo mwenyewe ukimuita babu anakumaliza na ukijifanya unamsalimia eti Shikamoo Mzee Bishanga utasikia Asanteee badala ya Marahaba Lol
Kifupi ndio Fataki Msaidizi wa Asprin
Wanajifanya wanalea wajukuu lol hakuna kitu
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh siku moja ukiiumwa anachukua simu the anampigia huyo nabii aje kukuombea na hapo ndio mambo yatakapoibuka na kuwa noma
nakwambia MUNGU akiamua kukueleleza mtu unaumbuka vibaya sana! uncle wangu alipata accident pale mbuyuni kunduchi akiwa na hawara yake, eti ametokea workshop bahari beach. watu walivyokuja kuwasaidia, ye anasisitiza tu wapelekwe hospitali tofauti, watu wakawapeleka hospitali moja. kesho yake sasa mkewe kaamkia hospital, anaambiwa na doctor, yule baba kidogo ana afadhali, ila mkewe kwa kweli hali c nzuri! mke wake alitaka na kumsusa kabisa! yaani huu uongo huu, haya mambo yapo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom