@SweetLady kidogo avunje Ndoa yangu

@SweetLady kidogo avunje Ndoa yangu

Khaa!

Haya bana ngoja nami nibadili majina yenu kwa simu yangu fasta Kongosho ; Mkata Vimeo, Kariakoo sweetlady ; Bodaboda, Tegeta Erickb52 ; Mchimba Makaburi, Kinondoni Bishanga ; Muuza Sanda, Magomeni Rejao ; Mochware Lugalo gfsonwin ; Samaki, Feri Cantalisia ; Meneja , Matak.o Bar BAGAH ; Shoe Shiner Mwenge Preta ; Chipsi, Temeke

Khaaa! kama mimi motchwari basi tena natangaza humu jamvini kuwa uliwaona wananu kwenye fb ukawadondokea wawe wakwezo ila umeshindwa kwa kumtusi mzazi mwenzio so nafasi ipo wazi kwa wanaotaka vidume vya mbegu vitatu. Bishanga, erickb25 nileteeni vijike nivipose lol huyu Asprin kashindwa kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha.........hii inaitwa za mwizi 40 lol.....aliumbukaje huyo mbaba?
sweetlady acha kabisa, ilibidi wazee kama wakina DC na Asprin waitwe kuzima soo! ilikuwa mbaya! mzima weye sweetlady? kadogoo naye? mpe mikiss ya kufa mtu kutoka kwa mama wa ubatizo, mwahhhhhhhh, mwahhhhhhhh! weekend hii tutakuja kumuona.
 
Hovyoooo kabisa cacico afu mie namuuliza anauchongoa, eti anajifanya hajaelewa......hapa ni chit chat na avatar za bandia anachanganya majina je kwenye game itakuwaje?
sweetlady huyu b52 akicheat rahisi sana kumkamata, anaonekana ana mawenge mengi! ila ndio hivyo labda alianza kunywa ulanzi akiwa mdogo sana, so akili not reachable!
 
Khaaa! kama mimi motchwari basi tena natangaza humu jamvini kuwa uliwaona wananu kwenye fb ukawadondokea wawe wakwezo ila umeshindwa kwa kumtusi mzazi mwenzio so nafasi ipo wazi kwa wanaotaka vidume vya mbegu vitatu. Bishanga, erickb25 nileteeni vijike nivipose lol huyu Asprin kashindwa kabisa.
Kusoma huwezi, hata picha nayo imekushinda gfsonwin? We huwezi kuwa mochware bana, kasome vizuri utajikuta we unaniuzia samaki feri... kwa afya ya wakwezo lol......... huyo Mochware attendant ni Rejao bana. Anaiweka maiti yake ya CCM isioze.
 
unabahati sana. ungekosa mkwe.
 
Hahahahahahahaha......lol.... Kongosho hapa umeua khaaa!.....nimecheka mpaka machozi!

Usicheke, majina haya lazima ujipange

Umeona za Kongosho???....chezeiya konnie wewe lol....eti Bishanga muuza mashada!

Mmme hawezi kuwaza kumbip muuza mashada lol

Hahahahaaaaa aisee Eti Muuza Mashada lol hata Asprin

Hata hivyo, bishanga kafanana na kuuza mashada tu

Hahahaaa yan Kongosho kanimaliza Lol
Atakapoulizwa hayo mashada huwa anayapeleka wapi ndio atajiju Lol

Kulikuwa na msiba kazini nikapewa kazi ya kutafuta mashada

Duh noma aiseee lol
Bora hata mimi nilivyokusave eeeh

Ukiamua kupinda, usijivunge
Pinda 'Heregeni'

Duh pole ndio raha za maisha hizo Lol
Cheka mwaya mi Kongosho ndio kanivunja mbavu

Ricky, nime hela basi

Hahahahaha.....atasema anajiandaa ili siku akipata msiba asihangaike lolest......si uchuro huu jamani daah!

He he he he, akianza kuniuliza hayo tu, navua nguo lol

Asprin mziba pancha mwenge tehe tehe.....bora hata Rejao lol

Asprin kajazia kifua, anaendana na kazi hiyo
 
Khaa!

Haya bana ngoja nami nibadili majina yenu kwa simu yangu fasta Kongosho ; Mkata Vimeo, Kariakoo sweetlady ; Bodaboda, Tegeta Erickb52 ; Mchimba Makaburi, Kinondoni Bishanga ; Muuza Sanda, Magomeni Rejao ; Mochware Lugalo gfsonwin ; Samaki, Feri Cantalisia ; Meneja , Matak.o Bar BAGAH ; Shoe Shiner Mwenge Preta ; Chipsi, Temeke

Kuniita mkata vimeo, wiki hii siji kwako.
Tena jamaa kasafiri, naenda kwa muuza mashada
Rudisha jina langu laraka la asali ya ODM

Dah nimecheka mpaka basi....hebu cheki simu ya mama matesha kuna mtu kamsevu 'amina msusi' mwongo huyo ni erickb52 kwa taarifa yako.

Wee muuza mashada, hujambo?
NA kiangazi hiki utakula polisi

mie sina chumba, maana huwa silali nasimama usiku kucha....loh

Namfungia huduma mwaka mzima
 
Hovyoooo kabisa cacico afu mie namuuliza anauchongoa, eti anajifanya hajaelewa......hapa ni chit chat na avatar za bandia anachanganya majina je kwenye game itakuwaje?
Mh nawewe mwanamke una maneno utadhani unakaa Unga LTD Lol
Dawa yako jumamosi pale Makaburini
 
Darling how are you?.......nilikuwa memiss wewe sana yaan bora ulivyokuja manake leo nisingeweza kupata usingizi kabisaa!.........Achana na majungu ya mleta mada wewe mwenyewe wajua vile nimekusave kwenye simu yangu!
Hahahahaaa jitetee tu huna lolote
 
sweetlady huyu b52 akicheat rahisi sana kumkamata, anaonekana ana mawenge mengi! ila ndio hivyo labda alianza kunywa ulanzi akiwa mdogo sana, so akili not reachable!
Hahhahaahaa cacico nitake radhi lol kwani mimi ni Mwakijambile?
Hapa hakamatwi mtu aisee lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom