Sweet

Sweet

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,502
Reaction score
145,911
This little girl is a trip!

I don't know about you all but I think little girls are just adorable.

How can't you be a happy camper when you have one like this at home?

Yaani eti kenyewe kamejificha humo kwenye pantry kanakula 'ochlit' (chocolate) hahahahaaaa.

 
Last edited by a moderator:
Haaaahaa kumbe hata wenzetu wana zile "nitakusemea kwa baba ako"
She's so sweet for sure.
 
Haaaahaa kumbe hata wenzetu wana zile "nitakusemea kwa baba ako"
She's so sweet for sure.

Hako hata ukikasemea kwa baba ake ni sawa na kazi bure tu.

Halafu ukute baba mwenyewe ndo kama mimi sana sana nitaungana nako humo kwenye pantry tufanye uharibifu zaidi, to the chagrin of the mother.
 
Dogo kanichekesha mno...anaona kabisa amebambwa lakini anaendelea kugonga chocolate bila wasiwasi...anatishiwa kusemelewa kwa baba lakini ndo anaongeza kijiko kingine. Ama haoni kosa lake liko wapi au ana uhakika daddy akiambiwa atamuunga mkono:becky:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom