Sweet Dadii...

Sweet Dadii...

I know....

I know.... but all these because of love....

Babe, I love you [emoji7].... so much....

Wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi , mahana ni misumari nigongelee taabani niteketee
Tahadhari tuweke bango wasitusogelee
Huu mchezo wa mapenzi tuna talanta, swadakta mahaba matata......
View attachment 2101789


Me and you are perfect Combo...
Baby umeniroga JuuJuu nahemea JuuJuu
How I wish ...... let me say I love you and I need you.
Duniani mingi mitihani, jibu langu ni weewee....

View attachment 2101792


Am falling in love with you and I’ve made up my mind with you.
No matter the situation, you are my one and only man.

Mahabuba,

Najua utapita kusoma hapa, Asante kwa kunipa uso an tabasamu angavu.
Najikuta natabasamu muda wote...[emoji3526]

Acha tuu wadau wa hii hadhira waulize umenipa nini.... nimekuwa mlevi wa penzi lako... ongeza nilewe.



Mwambie mganga wako, kaniweza [emoji1430][emoji1430][emoji1430].

Siri naijua mwenyewe [emoji6][emoji8][emoji8][emoji8].

Kasinde.
Waaaaoooh...Mpaka Nimeona Wivuuu Wallah....Mapenzi Motoooooo....safii Mama mtu [emoji2957][emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji180][emoji94]
 
Acha kabisa...

Yaani huoni makosa zaidi yake unaona mapenzi, mahaba, raha na furaha telee...

Waja watasema nimepewa limbwata, kalishwa nshutama, na maneno kadha wa kadha....

Asikwambie mtu, ukipenda.... chongo utaita kengeza.....[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Asikwambie mtu, ukipenda.... chongo utaita kengeza.....[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]... Weshu... Utam wa shok shok ladha yake nyama tupu..[emoji7][emoji1787]
 
Kasie Matata at what she does best - being lovable and spreading love! [emoji8][emoji8][emoji8]

This troubled world needs more Kasie Matatas....
 
Kasie Matata at what she does best - being lovable and spreading love! [emoji8][emoji8][emoji8]

This troubled world needs more Kasie Matatas....

Ng'anawike wanne...

Ulihoo..! Kinehee...!!

Mashokolo mageni mahaba haya.... 😃😊😃😊🙂
 
Asikwambie mtu, ukipenda.... chongo utaita kengeza.....[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]... Weshu... Utam wa shok shok ladha yake nyama tupu..[emoji7][emoji1787]

Weshuu, untendea zeezee...!!?

Tea soo...
 
Waaaaoooh...Mpaka Nimeona Wivuuu Wallah....Mapenzi Motoooooo....safii Mama mtu [emoji2957][emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji180][emoji94]
🍻🥂....
 
I know...

I know, but all these because of love...

Babe, I love you [emoji7].... so much....

Wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi , mahana ni misumari nigongelee taabani niteketee. Tahadhari tuweke bango wasitusogelee
Huu mchezo wa mapenzi tuna talanta, swadakta mahaba matata...

View attachment 2101789


Me and you are perfect Combo...
Baby umeniroga JuuJuu nahemea JuuJuu
How I wish, let me say I love you and I need you.
Duniani mingi mitihani, jibu langu ni weewee.

View attachment 2101792


Am falling in love with you and I’ve made up my mind with you.
No matter the situation, you are my one and only man.

Mahabuba,

Najua utapita kusoma hapa, Asante kwa kunipa uso an tabasamu angavu. Najikuta natabasamu muda wote...[emoji3526]

Acha tuu wadau wa hii hadhira waulize umenipa nini nimekuwa mlevi wa penzi lako... ongeza nilewe.



Mwambie mganga wako, kaniweza [emoji1430][emoji1430][emoji1430].

Siri naijua mwenyewe [emoji6][emoji8][emoji8][emoji8].

Kasinde.
Daddy Cool

 
Back
Top Bottom