Sweet Dadii...

Sweet Dadii...

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
I know...

I know, but all these because of love...

Babe, I love you 😍.... so much....

Wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi , mahana ni misumari nigongelee taabani niteketee. Tahadhari tuweke bango wasitusogelee
Huu mchezo wa mapenzi tuna talanta, swadakta mahaba matata...

05060A82-3049-4CA6-9FCD-0BB7A4FA844F.jpeg



Me and you are perfect Combo...
Baby umeniroga JuuJuu nahemea JuuJuu
How I wish, let me say I love you and I need you.
Duniani mingi mitihani, jibu langu ni weewee.

201211C4-9711-4B31-8A97-A4E6241D7A31.jpeg



Am falling in love with you and I’ve made up my mind with you.
No matter the situation, you are my one and only man.

Mahabuba,

Najua utapita kusoma hapa, Asante kwa kunipa uso an tabasamu angavu. Najikuta natabasamu muda wote...☺️

Acha tuu wadau wa hii hadhira waulize umenipa nini nimekuwa mlevi wa penzi lako... ongeza nilewe.



Mwambie mganga wako, kaniweza 🙌🏽🙌🏽🙌🏽.

Siri naijua mwenyewe 😉😘😘😘.

Kasinde.
 
Hii singo nikitaka kuipata haraka na wa pili(wa kwanza naamini ni Sweet Dadii yako) nafanzaje?
 
I know....

I know.... but all these because of love....

Babe, I love you [emoji7].... so much....

Wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi , mahana ni misumari nigongelee taabani niteketee
Tahadhari tuweke bango wasitusogelee
Huu mchezo wa mapenzi tuna talanta, swadakta mahaba matata......
View attachment 2101789


Me and you are perfect Combo...
Baby umeniroga JuuJuu nahemea JuuJuu
How I wish ...... let me say I love you and I need you.
Duniani mingi mitihani, jibu langu ni weewee....

View attachment 2101792


Am falling in love with you and I’ve made up my mind with you.
No matter the situation, you are my one and only man.

Mahabuba,

Najua utapita kusoma hapa, Asante kwa kunipa uso an tabasamu angavu.
Najikuta natabasamu muda wote...[emoji3526]

Acha tuu wadau wa hii hadhira waulize umenipa nini.... nimekuwa mlevi wa penzi lako... ongeza nilewe.



Mwambie mganga wako, kaniweza [emoji1430][emoji1430][emoji1430].

Siri naijua mwenyewe [emoji6][emoji8][emoji8][emoji8].

Kasinde.

Wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi , mahana ni misumari nigongelee taabani niteketee
 
Hiyo dadiii inaniuma😞😞😞

Mtaachana tu

Aahahahahahaa

Dua la kuku.....

Kwa jinsi nnavyo mpenda huyu mwanaume.....

Acha tuu ajitutumue kifua mbele kila anakopita....

Libarikiwe tumbo lililomlea miezi 9 😇.
 
Back
Top Bottom