KONG KONG MASTER
Senior Member
- Jan 21, 2021
- 131
- 332
Jamii Forum ni full vitaminisNimebonya.Wananiambia nifungashe shangazikaja.Wananipitia twende kwenye mdumange!
Jamii Forum ni full vitaminisNimebonya.Wananiambia nifungashe shangazikaja.Wananipitia twende kwenye mdumange!
Hahahhaha tupo pamoja kusheherekea
Wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi , mahana ni misumari nigongelee taabani niteketee
Dah!Sasa itakuwaje?Maana nasikia mkiingia mduarani kucheza,ukiomba Pooh,unakatwa pointi!Tii bila shuruti...
Ndo uraia mwema 😊.
Penzi jipya hili ngoja ipite wiki anakuja kuedit uzi kuwa full vijembe.
Wakaanga sumuHiyo dadiii inaniuma😞😞😞
Mtaachana tu
Dadii anamiliki himaya ya Kasinde tangu mwaka 2015....
Tulikutana kwenye Tamasha la kumuenzi Remmy Ongala, ulipigwa huu wimbo...
Tukajikuta tunapigana bampingi kwenye dancing floor, na hapo ndo ukawa mwanzo wa safari yetu ya Mahaba....
Mungu aendelee kumuweka na kumtunza Dadii wangu....
Mabusu moto moto kwake.
Dah!Sasa itakuwaje?Maana nasikia mkiingia mduarani kucheza,ukiomba Pooh,unakatwa pointi!
Siumpost basi tumuone et?Huu ni uhalisia kabisa....
Aendelee kukumbukwa Remmy.
Nimetaka kuaga.Sasa,ndiyo nawauliza hawa ndugu nisemeje?Bon Voyage(Safar njema)au Gudubai?😝😝😝Wee umeshafingasha Shangazi kaja....
Sasa huku kwenye mduara umerudije...!???
Acha ukorofiiii, wakubwa wanataka kuzima taa.
Wewe endelea mbele ongeza mwendo, uwe mtii tuu usirubuniwe na maneno ya kusikia 😜😜