vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,185
- 6,642
Alafu haya mambo ya mampira mbona kama bongo yamezidi, hivi kuna taifa linazungumza mamipira kiasi hichi duniani kama Tz?Ahsante mkuu
Vipi na huko kuna sehemu panaitwa jangwani?
Hawa sindio wameanzisha mashindano ya ngono...
Umefika lini huko? Sogea kidogo kuelekea kaskazini utakuta na eneo halizami kabisa. Hukuwahi kusomea somo la Jiografia kabla ya kwenda huko? Katoe ushamba sasa. Linachomoza saa ngapi?Mungu fundi kwa kweli jiji la stocklohom uswedish jua huzama majira ya saa nne usiku kwa msimu huu.
Maisha yanakuwa si ya kawaida watu wanatembea kama hawatembei. Watu wanalala kama hawalali.
Usipoangalia majira unaweza ukalala muda wa kuamka.
Nchi za ulaya zimebarikiwa sana.
Raia wachache kwa nchi ni jambo zuri sana.Sio kweli Dada ni UZUSHI na uongo.
Scandinavian countries hizi nchi zimejawa na Amani, upendo, Umoja, Maelewano.
Baadhi ya nchi hazina JESHI Wala mageleza.
Amani imetawala.
Hakuna uzur wowote
ingekuwa bongo polis anaweza kukukamata kwa kosa la uzururaji na jua linawakaNCHI za Scandinavia hawaangalii jua kuzama, huko ni Lazima uwe na saa.
Niliwahi KUISHI Finland jua linazama saa Tisa usiku
Hawa sindio wameanzisha mashindano ya ngono...
Tuhamie kule mkuu...😊😋Hawa sindio wameanzisha mashindano ya ngono...