Nimepotea Jukwaani kwa muda sababu kubwa namsaidia lazizi wangu Mzenji kufunga kwenye mwezi huu mtukufu. Nilipata aibu zile siku za mwanzo kwenye funga niitwa kobe...huku Zenji hata Migahawa inafunguliwa baada ya futuru. Inshallah nitarudi baada ya mfungo kwisha.
Kuna Muhadhara Mmoja nilikwenda huku mashambani wanasema mashekhe kila afungaye basi thawabu zinamwagikia kama mvua za masika! Ni moja ya nguzo za deen ya mtume
Kuna Muhadhara Mmoja nilikwenda huku mashambani wanasema mashekhe kila afungaye basi thawabu zinamwagikia kama mvua za masika! Ni moja ya nguzo za deen ya mtume