swaumu ya leo..................

Umenichekesha wewe mama, hao kuku na samaki ndiyo wazuri, hata hamu ya kufuturu inakosa unaendelea kufunga hahahaha. Kesho nakuja kukuona ofisini nikutie moyo. Si unajua zetu za saa sita tunatawanyika nyumba
hahhahhaha, kweli hamu yote iliisha ikabidi niendelee tu, nashukuru yamebaki masaa machache. njo sist, karibu sanaaa maana nimekumiss halafu tuna mengi ya kuongea.
 
haya uje ufuturu magimbi na samaki baadae my shemeg, lazma utoke shavu mwezi huu maana idadi yako ya milo imeongezeka
Haya shemeg mie ngoja nikae kando...najua mida ya kufuturu ndio hiyoooo....nilichungulia ule mwaliko ujue!!!
 
Huku niliko ni pweza na ngisi tu ndio wanapatikana. Je nikutumie picha au nikuletee kabisa?????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…